Pita hapa kama unataka kujua chochote kuhusu biashara Kampala

Naona jamaa wapo strict mbaya kuzuia vipodoz na madawa yaan border hupiti yaan wale TRA utashangaa wanafata moja kwa moja begi lako na faini utakayopigwa hapo ni balaaa.....Tahadhari tu ukitaka pga hizi dili kuwa mjanja na make your way CLEAR....
TRA hawakamati vipodozi ila TFDA na TBS.

kwa suala la vipodozi hasa vikali Waganda huviingiza kutoka Congo, so ukiwa na access ya Zambia kupitia Mbeya nayo ni nafuu pia.
 
Pole ulipigwa ndole kuwa makini nchi za watu wamama tunawekaga kwenye sidilia kuongeza umakini zaidi
 
Bidhaa za kilimo zipi?? Pembejeo au zana?? Na kama ni zana, zana zipi unahitaji??
mmmmhhh nilishuhudia jamaa akifilisiwa Mtukula kwa kuingiza viuadudu Tz. Kwa kifupi Waganda wako vizuri kwa kila bidhaa ila huku tumebaki na propaganda ya amani huku wezetu wakisonga mbele.
 
Waganda tuwadharau tu wakiwa hapa Tz lkn wako juu kibiashara na sifikirii kama tutawapata
 
 
Oyooooo nimerudi wakuu, nina mengi sana kuhusu Kampala, ila kwa biashara jamani waganda wametuacha mbali sana yaani bongo bado sana, kuhusu Bata je? Hahahaha kuhusu Bata la kule dah sirudii tena, bata la Kabalagala(De Posh Pub), Club Ange Noir etc khaa bongo bado sana
 
Nakumbuka Kabalaga mida ya saa kumi alfajiri nilihitaji leso nikakuta super market iko wazi, yaani Muda huo hata ukihitaji viatu au nguo unapata mtaani
 
Hahahaha nina mengi sana ngoja soon nitawapa mubashara hapa hapa
 
Kuna mengi sana nimeendelea kujifunza kupitia Kampala
 
Huku tunasema tuna super markets, hahahaha
 
Kuhusu nguo za special
 
mmmmhhh nilishuhudia jamaa akifilisiwa Mtukula kwa kuingiza viuadudu Tz. Kwa kifupi Waganda wako vizuri kwa kila bidhaa ila huku tumebaki na propaganda ya amani huku wezetu wakisonga mbele.
Kama ni kuhusu dawa (viuatilifu) achana na Uganda, Waganda wenyewe hununua upande wa Tz ili kuepuka kununua feki.

Kwa Uganda everything is do-able ni wajanja sana wanaweza kukuingiza mjini kama hujui vitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…