Jick
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 1,327
- 2,041
TRA hawakamati vipodozi ila TFDA na TBS.Naona jamaa wapo strict mbaya kuzuia vipodoz na madawa yaan border hupiti yaan wale TRA utashangaa wanafata moja kwa moja begi lako na faini utakayopigwa hapo ni balaaa.....Tahadhari tu ukitaka pga hizi dili kuwa mjanja na make your way CLEAR....
kwa suala la vipodozi hasa vikali Waganda huviingiza kutoka Congo, so ukiwa na access ya Zambia kupitia Mbeya nayo ni nafuu pia.