Pita hapa ndugu kwa ufafanuzi zaid kuhusu ualimu

Joined
Feb 28, 2014
Posts
76
Reaction score
19
Mimi nimemaliza form 4 mwaka 2013 na matokeo yangu ni divn 4.point 32 na ninataka kusoma ualimu.Ninaomba ufafanuzi kwa aliyelielewa tangazo la wizara ya elimu kuhusu ualimu.kwa matokeo yangu nitasoma kwanza mafunzo kabilishi au ualimu moja kwa moja? msaada tafadhali
 
Huna sifa. Lakufanya tafuta course zingine au kama unataka uwalimu karudie shule au mtihani wa kidato cha nne upata point zinazotakiwa. Afu hustaili kabisa 2013 si ndo baraza la mitihani lilirudia mtihani lenyewe lakini bado umepata uchafu huo, acha uchokozi hufai kuaomea hiyo taaluma.
 
Mm nlimaliza form four 2012 na alama zangu n 28 je,ninaweza kujinga na chuo cha ualimu kutokana na alama zangu?
 
Yani mtu akifeli ndo anaopt ualimu mnaifanya flani yetu ionekane ya watu wasiojiweza kielimu
rudieni mitihani ndo msome ualimu
 
Mwalimu wa degree analipwa ngapi sikuhizi? Kwa mwenye kujua atujuze

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
we kalime, utafundisha nin wakat hujui
 
Point 28 hachukuliwi. Then unaotaka kujua mshahara kama wewe unasoma hiyo fani ukimaliza utaenda kufahamu hukohuko. Coz always mambo yanabadilika
 
Afu hzo marks za failure ndo mnaona zauwalimu. Hata aibu hamna kabisa au story za kijiweni ndo mnazileta kwenye uhalisia?fuatilia kwa umakini sana unapotaka kujiunga na chuo kikuu lazima form 4 uwe unasifa nzur il uweze kuwa registered TCU then angalia vyuo na cutpoint zake kama wanachukua watu walo fail kusoma uwalimu then mtajua failure zenu haziwaruhusu. Mfano mzur UDSM,MZUMBE,SAUT,SUA kwauchache tu wanaochaguliwa uwalimu cutpoint zao zinaeleweka sio utombo utumbo
 

Sikiliza mdogo wangu nikwambie! kwanza umejitahidi kupata hizo marks, ni wengi wameztaman ila hawakupata, Wizara imesema inachukua alama za chini za IV ya "33 & 34" kwa usemi huo wewe vigezo unavyo, cha msingi lipa hyo 10000 yao kwa Mpesa then nenda ukafanye registration! hao wanaokwambia umefeli achana nao, ww fuata tu ndoto zako! usome hyo baadaye ujiendeze ili ukawe hata mwl wa chuo
 
Kwhyo jamani inamaana kwa point zangu cwez kupta chochote kabisa hata kilimo na mifugo ciwez kwenda na vi D vyangu vya physics,chemistry na biology?
 
Kwhyo jamani inamaana kwa point zangu cwez kupta chochote kabisa hata kilimo na mifugo ciwez kwenda na vi D vyangu vya physics,chemistry na biology?Hyo point 28 kwa matokeo ya mwaka 2012 inamaana ndo imetoka hivyo?
 
Kwhyo jamani inamaana kwa point zangu cwez kupta chochote kabisa hata kilimo na mifugo ciwez kwenda na vi D vyangu vya physics,chemistry na biology?

kama una D ktk masomo yote ya phy, bios na chem, kwa nini usiombe kozi za afya? hizo znafaa sana afya, na uhakika wa nafasi ya certificate upo
 
Kwhyo jamani inamaana kwa point zangu cwez kupta chochote kabisa hata kilimo na mifugo ciwez kwenda na vi D vyangu vya physics,chemistry na biology?Hyo point 28 kwa matokeo ya mwaka 2012 inamaana nd imetoka hivyo?
 
Hiyo utapata kilimo na hata nursing kama kwel unahzo point
 
Hela unayo yakusoma cert ya afya make huenda umaskn ndo ulkufanya ufeli au unafkr vyuo vyote ni bwelebwele
 
lakini kwanini wizara hawakuitolea ufafanuzi hii four ya 32?, au tuseme aliyechapa tangazo aliiruka?
 

kwahyo hapo anayeenda ualim bila hiyo course ya maandaliz inambid awe amepata ngap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…