CHARLES KIHOMBO
Member
- Feb 28, 2014
- 76
- 19
Mimi nimemaliza form 4 mwaka 2013 na matokeo yangu ni divn 4.point 32 na ninataka kusoma ualimu.Ninaomba ufafanuzi kwa aliyelielewa tangazo la wizara ya elimu kuhusu ualimu.kwa matokeo yangu nitasoma kwanza mafunzo kabilishi au ualimu moja kwa moja? msaada tafadhali