Pita Hapa tucheke kidogo, tusahau siasa kwa muda

Pita Hapa tucheke kidogo, tusahau siasa kwa muda

Joselela

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
6,109
Reaction score
8,080
*Mvaa milegezo alizidiwa na pombe akaenda kulala dampo, Chizi mwingne naye akaenda hukohuko, alipofika dampo akakuta mlevi kalala matako wazi, chizi akaanza kuyashikashika huku akisema, kweli duniani kuna watu matajiri, haya matako si mazima kabisa wao wameyatupa!*[emoji38][emoji38][emoji38]

Kuwa na mahusiano halafu wote wembamba kwa mbali mkiwa mnatembea huku mmeshikana mikoni mnakuwa Kama herufi 'H'[emoji3]

Binti: Baba naombaa niende nikajisomee kwa rafiki yangu!!Baba: Pumbavu mkubwaa kaa hapo, ujisomee hata mama yako alikuwa anaaga hivo hivo halafu anakujaa [HASHTAG]#Ghetoni[/HASHTAG] kwangu!!! [emoji38][emoji38][emoji38]

*Unatafuta mwanaume mrefu, awe na *_six pack na kazi nzuri_* lakini baba yako vigezo vyote hivyo hana,lakin amekulea mpaka umekuwa. *Je mama yako ni mpumbavu kuwa na mahusiano naye?* _*msitushinde mbuzi nyie.*_

Wale Wanaojifanyaga Akina Sharkhan Halafu Hawana Hela Ndo Wamewashiwa Simu Sasa Hivi Na Kuambiwa "Baby Umeme Ulikatika Siku Nzima Na Simu Haikuwa Na Chaji.." [emoji23][emoji23][emoji23] Daah Hadi Huruma..[emoji23][emoji23]

Ongezea na wewe tucheke.....
 
Ninachekaje huku.
1. Watu wanauliwa ovyo
2. Haki zinaminywa
3. Demokrasia imekufa.
4. Vyuma vimekaza
5. Hakuna ajira
6. Madeni ya wafanyakazi hayajalipwa
7. Wadogo zetu huko JKT wanatoboa mikataba
8. Serikali inafuja kodi zetu kwa uchaguzi wa kipumbavu
YAPO MENGI..
Ka vipi we cheka peke yako tu.
 
Ninachekaje huku.
1. Watu wanauliwa ovyo
2. Haki zinaminywa
3. Demokrasia imekufa.
4. Vyuma vimekaza
5. Hakuna ajira
6. Madeni ya wafanyakazi hayajalipwa
7. Wadogo zetu huko JKT wanatoboa mikataba
8. Serikali inafuja kodi zetu kwa uchaguzi wa kipumbavu
YAPO MENGI..
Ka vipi we cheka peke yako tu.
Hakuna namna kama vip ingia barabarani kusaka haki..
 
Sitaki hata kucheka, jua limeniwakia hivi napanda daladala na hela kamili yaani 400 hapo ikidondoka 200 maelewano na konda yanakuwa madogo nitachekaje
Ukinuna na mvua ikinyesha ndio hutadondosha?
 
be79b6ac8d8d20798a61b5af4eb80606.jpg
 
2d976285e3e1d5b0ee341a69ebe6fa1d.jpg


Embu tusubiri hii foleni ikwishe tukuje kujenga viwanda sasa!
 
*BREAK NEWS*
*Dawa nzuri ya MAKALIO paka asali kwenye Makalio yote halafu nenda kwenye mzinga wa nyuki,, Lazima Uje Kunishukuru*
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
RATIBA YANGU YA KULA KESHO.
ASUBUHI
nitaenda polisi nile makofi
MCHANA nipite kambin nile mitama
JIONI nile hasara niliopata ikiwezekana nipitea ata kwenu nile matusi[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Ndo nimeiwasha bado sijavuta
 
Kuna baadh ya wanaume wanapenda kweli kukojolea ndani[emoji4][emoji4] yaani nje hawataki kabisaaa [emoji17][emoji18] akiambiwa akojolee nje utaskia "aah unazngua bana[emoji19] acha nikojolee ndani bana [emoji4][emoji4]asubuh tutamwaga chooni[emoji18]" ujue Haya makopo wanayoingiza ndani kwa ajil ya kukojolea usiku yanawalemaza Sana Wanaume waoga [emoji23][emoji23] sasa we waza upumbavu tu [emoji12][emoji12][emoji12]
 
Back
Top Bottom