Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Plate number badala ya number plate...utasikia mtu anasema plate number ya gari yangu imedondoka.
Hapo hats Mimi bado inanishinda kutofautisha kat ya number plate na plate number
 
Hilo la element ndo sipendi kweli kusikia mtu akilisema! Na bodaboda wengi wanaita hivyo
 
Miaka kama mitatu nyuma ndo nimegundua kua natamka vibaya neno POSTPONE, ilikua nasema POSTPOND [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ndo ata sifahamu naongea English ya wapi!!!
 
Yani wewe bado ni "mshamba" sana kwenye hii tasnia. Nadhani hata google unaona tabu kutumia. Kama bado unawaza CRDB ni Cooperative Rural Development Bank... njoo hapa Bunju binti yangu yuko darasa la nne atakufundisha

Ile ni CRDB bank... sio initials kama ulivyokaririshwa na wajinga au ujinga wako.

Hivi unawezaje kuwa member wa JF afu unashindwa kuelewa ile bank ilishabinafsishwa na kwa sababu za "kibiashara" ikabidi CRDB iendelee kuwa kama jina lakini sio kwa initials za maana ya mwanzoni?

Siku nyingine ukome kumwita "babu" yako "mjinga" wakati kichwani kwako kumejaa "mapovu" badala ya ubongo.

Ile ni CRDB bank na sio CRD bank

Usije ukaleta ujuaji wako wa kijinga ukadhani watu wanakosea kama wanavyokosea kusema Barabara ya Morogoro road au Uwanja wa Taifa stadium....

Hivi huko shuleni huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
Sawa lakini hii sio thread ya zamani... si ndio?
Ni kweli... lakini kama kuna mtu 45yrs old anesema niko hapa barabara ya kilwa road basi hata kipindi hicho atakua alikuwa anasema niko hapa crdb bank... labda mlaleo aliwasikia wakisema hivyo, labda bado anawasikia maana anaonyesha bado anaishi kwenye hiyo era ya crd bank.

Okeey basi tunaongelea current!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…