Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
There's no "be" toa nta kwa masikio usikie vizuriI hear "be" here!
Kwa received pronounciation huwezi kusikia be, sijui english ya wapi unayoongea, English halisi United Kingdom, labda dirty english ndio inatamkwa be tena may be germany na nchi nyingine sio Uk.There's no "be" toa nta kwa masikio usikie vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njiii badala ya nchi.
Nambie kuhusu received pronounciation ambayo ndio english sahihi ile anayo ongea Queen mwenyewe pamoja na watu wake wa England, Scotland, Northern Ireland na Wales.Labda masikio yangu yana matatizo!
Pia, Pronunciation is the way in which a word is pronounced.
Plate number badala ya number plateKumekuwepo na kasumba ya watu kutamka maneno ya kingereza kimakosa ima kwa kujua au pasina kujua, ifuatayo ni orodha ya hayo maneno, waweza ongezea mengine msomaji wangu ikiwa unayo
1.Centmirror/site mirror ikiwa na maana ya side mirror
2.herement/ element(kofia ngumu) ikiwa na maana ya helmet.
3. Flampeni(kifaa cha kukaangia) ikiwa na maana ya frying pan
4.________________________.
5._______________________
Ongeza na we we msomaji wangu ili tujiimarishe Zaidi kimsamiati.
Ahsanteni.
Alaa kumbe huelewi kuwa english sahihi ni received pronounciation?Unamaanisha received pronunciation?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Sakaveta badala ya excavator
Pronunciation,sio pronounciationAlaa kumbe huelewi kuwa english sahihi ni received pronounciation?
Sahihi kabisa, ahsante[emoji106]Pronunciation,sio pronounciation
Ndio uelewe kuanzia leo, kwani tukiongelea English Tunamaanisha lugha gani? Najua jibu ni Kiingereza, na kama Tukiongelea kiingereza tunamkusudia nani? Najua jibu ni mwingereza, Sasa mwingereza ni nani? Najua jibu ni mtu kutoka katika nchi za United Kingdom {England, Scotland, Wales na Northern Ireland}. Sasa hao wote wako chini ya Queen Elizabeth. Na Queen mwenyewe ndio anaongea Received Pronunciation.Nafahamu kuwa received pronunciation ni standard form kwa kutamka Kiingereza.
Sifahamu kuwa English sahihi ni received pronounciation!
Huitaji tochi kuelewa ufafanuzi huu,siongezi wala kupunguza neno,IMEJITOSHELEZANdio uelewe kuanzia leo, kwani tukiongelea English Tunamaanisha lugha gani? Najua jibu ni Kiingereza, na kama Tukiongelea kiingereza tunamkusudia nani? Najua jibu ni mwingereza, Sasa mwingereza ni nani? Najua jibu ni mtu kutoka katika nchi za United Kingdom {England, Scotland, Wales na Northern Ireland}. Sasa hao wote wako chini ya Queen Elizabeth. Na Queen mwenyewe ndio anaongea Received Pronunciation.
Nikuulize swali?Huitaji tochi kuelewa ufafanuzi huu,siongezi wala kupunguza neno,IMEJITOSHELEZA
Pasi shaka brother,karibuNikuulize swali?