Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Hiyo Bank Tokea Inaanzishwa wafanyakazi wake wakitokea NBC nilikuwepo so mjinga kama wewe huna la kuniambia upuuzi wowote ule. CRDB nenda BRELA kawaombe Memorandum yao ya kwanza kabla ya changes zozote zile uisome ukienda pale unalipia nadhani kama elfu tatu tu... watu wa kigoma nyie lazima mtaenda kuhakikisha. ukishaisoma ndio utaelewa nini kirefu cha CRDB hayo mengine ati ni jina tu la Bank upuuzi huo kawaadhithie watoto wako pakee. Wapuuzi kama Nyie ndio waliingia hadi kwenye Dini zile asili zote wakazibadilisha wakaja na zao
 
1.faya tingisha=fire extinguisher
2.ditamaini=ditemin( sound)
 
Najuta kuwasiliana na kilaza kama wewe. Sitarudia tena. Nilijua nacheki na mtu mwelewa kumbe kilaza aliyepitiliza. Kafie mbali, acha niwafundishe wanaoelewa

Ila nakuacha nikikupa somo ile ni CRDB Bank na sio CRD Bank kama minyoo ya uelewa inavotaka kujiaminisha.

Kwa uelewa wako huo siwezi kuruhusu wanangu wafahamiane na wanao maana wataambukizwa akili za kindazi.

Narudia tena ile ni CRDB Bank na sio CRD Bank

Maadam nshajua wewe ni kilaza, sitarudia tena kupoteza muda na wewe

Endelea na ujinga wako unaodhani CRDB ni kama TIN ya TRA

Mpumbavu sio mjinga bali ni taahira asiyependa kueleweshwa alipokosea.

Kwaheri mpumbavu. Endelea kuendelea na upumbavu wako ukiamini CRDB ni "Cooperative Rural and Development Bank" ...

Salimia washamba wenzio Kolomije
 
Ghetto kuwa nyumba, wakati maana ya ghetto ni uswahilini mfano Tandale, Mbagala, Vingunguti, Mburahati.....!
 
 
Nafahamu kuwa received pronunciation ni standard form kwa kutamka Kiingereza.
Sifahamu kuwa English sahihi ni received pronounciation!
Naomba kufahamishwa tofauti (maana ya) kati ya Received pronunciation na pronunciation. Asante
 
We pumbavu issue nzima ni CRDB inatakiwa isimame kama ilivyo na sio kuiongezea bank mtoa hoja alisema watu wanakosea sababu ikitamkwa CRDB Bank inaleta mameno Bank Twice huku kuendelea kujibizana na boya kama wewe uliezoea na kuishi na wanawaake wengi zaidi wa wanaume ndio yamekufanya unaleta Shida Duniani katika Maongezi ndio maana majibu yako ni ya kike kike ya kusuta baya zaidi akili zero kichwani mwako
 
Kwahiyo hata CRDB wenyewe wanakosea jina lao?

Inaonyesha hamuelewi lolote kuhusu hii benki
 
Kuna mtu kanambia nisijibizane na taahira ila nahisi ntakuwa namkosea Mungu.

Sikiliza wewe zwazwa uchwara... ile ni CRDB bank. Hapo B haisimamii neno Bank. CRDB ni jina linalojitegemea.... CRDB plc .

Ni tofauti na TIN ambapo N inasimama kwa neno Number. Tofauti na CCM ambapo M inasimamia neno Mapinduzi

Ni kazi yangu kufundisha mataahira kwa hiyo sitachoka kukufundisha japo wengine wakinishangaa kwanini nakomaa na wewe. Nataka kuwathibitishia watu kuwa hata mataahira wanafundishika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…