Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Nakuheshimu shemeji na mwalimu wangu....Kwahiyo wao hawawezi kukosea?!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuheshimu shemeji na mwalimu wangu....Kwahiyo wao hawawezi kukosea?!!!
Hahaha....Nakuheshimu shemeji na mwalimu wangu....
Tena hatujaribiwi...Hahaha....
Naona umeshikilia msimamo.. mie nipo upande wako shekh hata ukosee chama tawala hakikosolewi.
HahaTena hatujaribiwi...
Sisi ni Expansion Joint
Nenda BRELA wewe Jinga utaelewa nini maana ya hizo herufi CRDB hazijaja tu kama zimeshushwa kutoka juu Pumbavu unaleta link za kazi gani ushasikia Mahakama za Tanzania zinatumia Link kuhukumu kampuni ya Ndani?Ni kazi yangu kufundisha mijinga ... kama utashindwa kufuatilia hata hizi links... ntalazimika kumfundisha baba yako kwanza
Salaires de CRDB Bank | Glassdoor.fr
https://internationalbanker.com/ban...-kimei-chief-executive-officer-crdb-bank-plc/
CRDB BANK LAUNCHES A NEW MOBILE BANK PLATFORM, SIMACCOUNT - Corporate Digest
Narudia tena ile ni CRDB Bank na sio CRD Bank
Bado niko nakusubiri..
Maadam nimeahidi kuyafundisha makichwa maji kama wewe, ngoja niendelee kukufundisha ili usije kuendelea kuwa kichwa maji ukambukiza wanao....Nenda BRELA wewe Jinga utaelewa nini maana ya hizo herufi CRDB hazijaja tu kama zimeshushwa kutoka juu Pumbavu unaleta link za kazi gani ushasikia Mahakama za Tanzania zinatumia Link kuhukumu kampuni ya Ndani?
» Business and Professional Services » Financial Services » Banks » CRDB BANK PLC – Zanzibar Branch

Mimi niko Brela we Kenge, ndo maana nakuelewesha ufute ujinga wango.Nenda BRELA wewe Jinga utaelewa nini maana ya hizo herufi CRDB hazijaja tu kama zimeshushwa kutoka juu Pumbavu unaleta link za kazi gani ushasikia Mahakama za Tanzania zinatumia Link kuhukumu kampuni ya Ndani?
Mkuu unarumbana na mtu usiyemjua? Kuna haja gani ya kuitana kenge?Mimi niko Brela we Kenge, ndo maana nakuelewesha ufute ujinga wango.
Kiongozi Umejuaje kama simjui? Namjua sana huyo kengemajiMkuu unarumbana na mtu usiyemjua? Kuna haja gani ya kuitana kenge?
Ndugu asprin hatuna haja ya kulumbana katika kuelimisha,nimefurah kwa topic hii napenda sana namna wakuu walivyo safi,swala la CRDB liko waz,katika lugha kuna kitu kinaitwa asteronic meaning of abreviations,unapotaka kuitaja CRDB in its full name utasema cooperative rular development bank,ila in its abreviations lazima utake neno bank,si CRDB tu haya NMB ila tunaifanya makosa kutomalozia neno bank katika banks zingine which are abreviated,Na kikubwa ni kwamba hiz abreviations zina maana zaid ya moja.lakin ki hualisia u apotaka initials mostly stand for activities na unapomalizia bank describes the category of the institution Namaliza utata nikiwa kama a majestic linguisti ni kwamba It is CRDB bank,NMB bank and others of the kind .over !!!!!!Wenye akili na uelewa wao wanakuona we ndezi sana. Badala ya kushukuru nakufuta ujinga we unajifanya mjuaji
Ile ni CRDB Bank na sio CRD Bank...
Wanaosema TIN Number ni wajinga kama wewe unaedhani mpaka leo CRDB kuwa hapo "B" inasimama kama initial ya neno Bank
Ficha upumbavu na ufala wako. Fanya homework uende na wakati. Ukishaufuta ujinga uje hapa kunishukuru
Kwani shuleni ulienda kusomea ujinga?
Ni sawa spelling au pia anajulikana kama wrappers,kangas,au VulturineAnaitwa Guinea fowl{ sina hakika na spelling) ila inaitwa hivo
Mkuu napenda kukufahamisha kuwa kwa CRDB bank... CRDB sio abbreviation kama ilivokuwa zamani. Hivi sasa CRDB ni jina la bank. Haiitwi tena Central and Rural Cooperative Bank bali ni CRDB Bank. CRDB hivi sasa ni jina na sii abbreviations tena .Ndugu asprin hatuna haja ya kulumbana katika kuelimisha,nimefurah kwa topic hii napenda sana namna wakuu walivyo safi,swala la CRDB liko waz,katika lugha kuna kitu kinaitwa asteronic meaning of abreviations,unapotaka kuitaja CRDB in its full name utasema cooperative rular development bank,ila in its abreviations lazima utake neno bank,si CRDB tu haya NMB ila tunaifanya makosa kutomalozia neno bank katika banks zingine which are abreviated,Na kikubwa ni kwamba hiz abreviations zina maana zaid ya moja.lakin ki hualisia u apotaka initials mostly stand for activities na unapomalizia bank describes the category of the institution Namaliza utata nikiwa kama a majestic linguisti ni kwamba It is CRDB bank,NMB bank and others of the kind .over !!!!!!
Mkuu unarumbana na mtu usiyemjua? Kuna haja gani ya kuitana Unalumbana[emoji818]️[emoji818]️[emoji818]️
Ahaaa ahaaa"Colapusheni" -corruption
"Fenti Ford" - Front page
Tupe virefu vya hizo initials mkuuHapo kwa CRDB umeingia cha kike... Ile ni CRDB bank na wala sio CRD Bank "CRDB" imesimama kama jina na wala sio initials.