Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Ni kazi yangu kufundisha mijinga ... kama utashindwa kufuatilia hata hizi links... ntalazimika kumfundisha baba yako kwanza

Salaires de CRDB Bank | Glassdoor.fr

https://internationalbanker.com/ban...-kimei-chief-executive-officer-crdb-bank-plc/

CRDB BANK LAUNCHES A NEW MOBILE BANK PLATFORM, SIMACCOUNT - Corporate Digest

Narudia tena ile ni CRDB Bank na sio CRD Bank

Bado niko nakusubiri..
Nenda BRELA wewe Jinga utaelewa nini maana ya hizo herufi CRDB hazijaja tu kama zimeshushwa kutoka juu Pumbavu unaleta link za kazi gani ushasikia Mahakama za Tanzania zinatumia Link kuhukumu kampuni ya Ndani?
 
Maadam nimeahidi kuyafundisha makichwa maji kama wewe, ngoja niendelee kukufundisha ili usije kuendelea kuwa kichwa maji ukambukiza wanao....

Pumbavu wahed wewe uliyeshindikana tabia, Haya twende kazi

» Business and Professional Services » Financial Services » Banks » CRDB BANK PLC – Zanzibar Branch
CRDB BANK PLC – Zanzibar Branch
Added by Daniel Raymos

0 reviews

Listed in Banks

  • Mkunazini Street, Zanzibar Town, Tanzania
  • +255-24-2238187, +255-24-2238183, +255-24-2231574, +255-24-2238184
  • www.crdbbank.com
P. O. Box : 1846

Region: Zanzibar North

Srp: U/A

Add to Favorites
Claim Listing Contact Listing Owner

default-ei-banner.jpg

CRDB Bank

Connect with our community. OverviewOverview7Reviews--Jobs3Salaries3Interviews4Benefits1Photos
Add a Salary
CRDB Bank Salaries

2 salaries (for 2 job titles)

How much do CRDB Bank employees make? Glassdoor has salaries, wages, tips, bonuses, and hourly pay based upon employee reports and estimates.

US - All Cities

Sort: Most ReportsSalary
Salaries in $ (USD)
Average
Min
Max
 
Nenda BRELA wewe Jinga utaelewa nini maana ya hizo herufi CRDB hazijaja tu kama zimeshushwa kutoka juu Pumbavu unaleta link za kazi gani ushasikia Mahakama za Tanzania zinatumia Link kuhukumu kampuni ya Ndani?
Mimi niko Brela we Kenge, ndo maana nakuelewesha ufute ujinga wango.
 
Wenye akili na uelewa wao wanakuona we ndezi sana. Badala ya kushukuru nakufuta ujinga we unajifanya mjuaji

Ile ni CRDB Bank na sio CRD Bank...

Wanaosema TIN Number ni wajinga kama wewe unaedhani mpaka leo CRDB kuwa hapo "B" inasimama kama initial ya neno Bank

Ficha upumbavu na ufala wako. Fanya homework uende na wakati. Ukishaufuta ujinga uje hapa kunishukuru

Kwani shuleni ulienda kusomea ujinga?
Ndugu asprin hatuna haja ya kulumbana katika kuelimisha,nimefurah kwa topic hii napenda sana namna wakuu walivyo safi,swala la CRDB liko waz,katika lugha kuna kitu kinaitwa asteronic meaning of abreviations,unapotaka kuitaja CRDB in its full name utasema cooperative rular development bank,ila in its abreviations lazima utake neno bank,si CRDB tu haya NMB ila tunaifanya makosa kutomalozia neno bank katika banks zingine which are abreviated,Na kikubwa ni kwamba hiz abreviations zina maana zaid ya moja.lakin ki hualisia u apotaka initials mostly stand for activities na unapomalizia bank describes the category of the institution Namaliza utata nikiwa kama a majestic linguisti ni kwamba It is CRDB bank,NMB bank and others of the kind .over !!!!!!
 
Mkuu napenda kukufahamisha kuwa kwa CRDB bank... CRDB sio abbreviation kama ilivokuwa zamani. Hivi sasa CRDB ni jina la bank. Haiitwi tena Central and Rural Cooperative Bank bali ni CRDB Bank. CRDB hivi sasa ni jina na sii abbreviations tena .

Please be informed accordingly.
 
Back
Top Bottom