auferet dominus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,804
- 1,292
Tupe virefu vya hizo initials mkuu
kuna mtu amejaribu kueleza kwenye post za nyuma huko kuwa zamani kabla ya kubadilisha status kutoka kuwa a cooperative society kwenda kuwa a public limited company hiyo benki iliitwa cooperative rural development bank na kifupi chake kilikuwa CRDB. lakini baada ya kubadilisha status na kuwa a PLC hiyo bank ikaitwa jina jipya na walilolichagua ni CRDB kama ambavyo wangeweza kuchagua DFUDJJFDA au NEMATIC. ni jina tu. hapo huwezi kuuliza kirefu cha NEMATIC ni nini eti ili uambiwe ni kampuni inayoitwa National Engineering Mechanics And Technical Industries Company. ni NEMATIC tu

