Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Tupe virefu vya hizo initials mkuu

kuna mtu amejaribu kueleza kwenye post za nyuma huko kuwa zamani kabla ya kubadilisha status kutoka kuwa a cooperative society kwenda kuwa a public limited company hiyo benki iliitwa cooperative rural development bank na kifupi chake kilikuwa CRDB. lakini baada ya kubadilisha status na kuwa a PLC hiyo bank ikaitwa jina jipya na walilolichagua ni CRDB kama ambavyo wangeweza kuchagua DFUDJJFDA au NEMATIC. ni jina tu. hapo huwezi kuuliza kirefu cha NEMATIC ni nini eti ili uambiwe ni kampuni inayoitwa National Engineering Mechanics And Technical Industries Company. ni NEMATIC tu
 
Nakubali maelezo, naona walitaka kulinda logo/utambulisho kwa kutumia nembo isiyo na message yoyote lakini ilishapendwa ikiwa na maana nzuri huko nyuma.
 
Nadhani kila lugha uzalisha maneno yake kutoka sehemu mbalimbali mfano neno fegi limetoka katika neno fag au malavidavi ni lovey dovey. Mleta mada ingependeza kuweka maneno ambayo mtu anapozungumza kiingereza hukosea kutamka maneno kama;
1. Determine- wengi utamka ditamain
2. Deserve- disevu erufi "er" upendelea kuipa sauti ya E badala ya A
3. Lyrics- lairiks badala ya liriks
4. Stopped na maneno yanayoishia na 'ed' wengi ni wazito na hukosea. Maneno haya yana sauti ya 't' mwishoni na sio 'd'.
5. Majina ya watu hata pale anapozungumza kwa mfano Bernard, Daniel, Geoffrey etc.
 
Asante mkuu kwa nyongeza[emoji120] [emoji120]
 
Kumekuwepo na kasumba ya watu kutamka maneno ya kingereza kimakosa ima kwa kujua au pasina kujua, ifuatayo ni orodha ya hayo maneno, waweza ongezea mengine msomaji wangu ikiwa unayo

1.Centmirror/site mirror ikiwa na maana ya side mirror

2.herement/ element(kofia ngumu) ikiwa na maana ya helmet.

3. Flampeni(kifaa cha kukaangia) ikiwa na maana ya frying pan
4.________________________.

5._______________________

Ongeza na we we msomaji wangu ili tujiimarishe Zaidi kimsamiati.

Ahsanteni.
kudip (X) - beep (V)
 
documentary- wengi husema dokyumentari badala ya dokyumentri.
Automatically- inapaswa kutamkwa 'otomatikli' sio automatikali.
 
Mimi ndo ata sifahamu naongea English ya wapi!!!
Angalia kwenye maandishi yako ya kiingereza ukikuta neno colour umeandika color jua hiyo ni Ame (American English). Kwenye American english mara nyingi hupunguza baadhi ya spelling kwenye maneno.
 
Hahahahaha... chemli....mie pia hapo nilikuwa hata sijawi hungainisha... its funny jinsi maneno mengine hata mtu kama unayajua correct pronounciation yake unakua hugundui kwasababu yameshakua kama normal vocabulary ya kiswahili
Hawa wasikutishe. Kiswahili kimetohoa hayo maneno hivyo unapotumia kwa kiswahili neno chemli upo sahihi kabisa. Au ukisema machinga ni sahihi.

Naona kilichopaswa kujadiliwa hapa sio usahihi bali ni neno/msamiati ulipoazimwa/kopwa/toholewa.
Chimney sio usahihi wa chemli, bali chemli imetoholewa( kukopwa) kutoka katika neno la kiingereza liitwalo chimney.
 
Maadam nimeahidi kuyafundisha makichwa maji kama wewe, ngoja niendelee kukufundisha ili usije kuendelea kuwa kichwa maji ukambukiza wanao....

Pumbavu wahed wewe uliyeshindikana tabia, Haya twende kazi

» Business and Professional Services » Financial Services » Banks » CRDB BANK PLC – Zanzibar Branch
CRDB BANK PLC – Zanzibar Branch
Added by Daniel Raymos

0 reviews

Listed in Banks

  • Mkunazini Street, Zanzibar Town, Tanzania
  • +255-24-2238187, +255-24-2238183, +255-24-2231574, +255-24-2238184
  • www.crdbbank.com
P. O. Box : 1846

Region: Zanzibar North

Srp: U/A

Add to Favorites
Claim Listing Contact Listing Owner

default-ei-banner.jpg

CRDB Bank

Connect with our community. OverviewOverview7Reviews--Jobs3Salaries3Interviews4Benefits1Photos
Add a Salary
CRDB Bank Salaries

2 salaries (for 2 job titles)

How much do CRDB Bank employees make? Glassdoor has salaries, wages, tips, bonuses, and hourly pay based upon employee reports and estimates.

US - All Cities

Sort: Most ReportsSalary
Salaries in $ (USD)
Average
Min
Max
Ukiwa mpumbavu always utabaki hivyo hivyo Leo tu Kimei kakiri kuwa crdb baada ya kubinfishwa imemaintain jina CRDB na wala Hakusema CRDB Bank. upumbavu wako kaa nao hivyo hivyo maana umegeuza heading unavyotaka wewe mtoa mada kasema maneno yanayokosewa kutamkwa na ukitamka CRDB Bank ni kosa full stop ila haikufanyi ukose huduma pale kaweke pesa zako unazo omba omba mgogo wewe. Brela umeshindwa kwenda
 
Back
Top Bottom