Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Salute Comrade's.

Ni mada nzuri sana. Kuna kadhaa ya kujifunza.

Unazungumza na mtu kwenye simu anakuambia Nipo barabara ya Kilwa road. Ni makosa kiufundi.

Nipo barabara ya Kilwa road- Nipo Kilwa road.
Kuna tofauti gani na anayesema nipo CRDB Bank...?
 
Unaweza maana hiyo ni brand ni kama vile Vodacom, neno com linasimama kama communication network, Halotel, neno tel linafupisha telecommunication......nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…