Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Dah....kwanza tuwekane sawa....kiingereza cha wapi? Jamaika? India? Nigeria? Maana lugha si kutamka ....ni kuandika ....kwasababu kutamka huathiriwa sana na lugha yako ya msingi (mother tongue)[emoji87]
 
Polisi waliponishika wakaniambia hansapu (hands up) ama kweli lugha sio yetu, hata hivyo tujitahidi
 
Back
Top Bottom