Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hujielewi vile nadhani. Maana kuna English UK na English USA so wewe unaona kama ni makosa vile but sio Makosa kama uandikaji wako huo jirekebishe Kutamka Saidi sidhani watu hutamka Side(Said)Mirror(Mira) sio Makosa kivile yeyote anayeongea English huwezi kumfanya ashindwe kuelewa. Sight Mirror ni Kioo cha Kuonyesha upeo furani ambapo katika Gari ni kile cha Kati kati so inaonesha kiasi huelewi na humu jf utajifunza kutokana na makosa yako.Kwa wale Wanaotumia magari
Saidimira badala ya Sight Mirror....
Rejeta badala ya Radiator...
Eksosi badala ya Exhaust
Spare tyre badala ya Reserve tyre...
Speed Meter badala ya Speed Gauge...
Dabokibini badala ya Double Cabin...
Unachobishia unakielewa kweli au ndio asili ya ubishi kwenu?
Kirefu cha hizo herufi kiandike kisha yasome kwa Sauti kuu
Kwa kurahisisha ni (Co-operative Rural Development Bank) = CRDB so huwezi tena kuweka Neno Bank zaidi maana ukitamka hivyo na ukaja kuweka tena kifupi chake inakuwa CRDBB Ambapo ni Wrong!
Na NMB ni National Microfince Bank so ukiongeza neno Bank it means kifupi chake kiwe NMBB. Am sure wewe ni Mjinga na sio Mpumbavu maana Mjinga akishapata ufahamu huelewa na kuwa Mpole kama Mnyonge. Sawa Babu tunaeleweshana tu humu.
zile B za mure ndani hazina umuhimu siku hizi, we tamka neno/kifupi full then malizia na bank tu!!..Itajirudia tu maana ni bank kwa bank unaweza kusema tu NM kama bank ilishajitaja....National Microfinance inatosha kwa ilishatajwa
alisema front feji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]"Colapusheni" -corruption
"Fenti Ford" - Front page
Badala ya Self containedSelfcontainer