Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi lakini umesoma vizuri lakini kinachozingumziwa?.Wazungu walikuwa wanawaita hawa vijana wanaotembeza bidhaa matching guys matching guys ndo ikazaliwa hiyo machinga.Machinga na Hawker masikioni hayashabihiani.mfano mwingine ni naenda kupiga deiwaka (day work)Machinga = hawker
Ok sawa mkuu. NmekuelewaUko sahihi lakini umesoma vizuri lakini kinachozingumziwa?.Wazungu walikuwa wanawaita hawa vijana wanaotembeza bidhaa matching guys matching guys ndo ikazaliwa hiyo machinga.Machinga na Hawker masikioni hayashabihiani.mfano mwingine ni naenda kupiga deiwaka (day work)
Hio B inasimama badala ya nini?Hapo kwa CRDB umeingia cha kike... Ile ni CRDB bank na wala sio CRD Bank "CRDB" imesimama kama jina na wala sio initials.
Sio kwamba nimesahihisha lakini ukitamka jinsi ilivyo lazima neno Bank lijirudie mara mbili.We ndo umekosea. Hizi bank zote kwa Sasa hazitumii virefu vyake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu naomba uniache tu maana wakat naandika nilikua na frustrations zangu
Halitajirudia kwa maana ile b ya kwanza haina kirefu chake. Kile kirefu hakitumiki tena. Imebaki NMB kama brand. So kunaweza kuwa na NMB bank au NMB saccossSio kwamba nimesahihisha lakini ukitamka jinsi ilivyo lazima neno Bank lijirudie mara mbili.
Halitajirudia kwa maana ile b ya kwanza haina kirefu chake. Kile kirefu hakitumiki tena. Imebaki NMB kama brand. So kunaweza kuwa na NMB bank au NMB saccoss nSio kwamba nimesahihisha lakini ukitamka jinsi ilivyo lazima neno Bank lijirudie mara mbili.
Imesimama badala ya Bank.Hio B inasimama badala ya nini?
Si umeona sasa kwa hio neno Bank lipo mara mbili, ila kwa sababu ya kutamka ndio mana wakaliweka kama jina tu.Imesimama badala ya Bank.
Narrow bee flyHivi ni "Nairobi fly" au "narrow bee fly"??
Self contained [emoji1]Mbona hujatoa usahihi wake kama alivyofanya mleta mada?
Upo sahihi kabisa.Si umeona sasa kwa hio neno Bank lipo mara mbili, ila kwa sababu ya kutamka ndio mana wakaliweka kama jina tu.
Ukiona hivyo ujue mahaba yalinizidia, nikakutafuta PM nikagundua umeniblock...
Nimeamua kumwachia Mungu asemezane na moyo wako...
Haina cha badala kama ambavyo "C" haisimamii kitu. Elewa kuwa CRDB ni jina kama kadagala1Hio B inasimama badala ya nini?
CRDB=CRDB - CRD Bank (X)CRDB Bank => CRD Bank
NMB Bank => NM Bank