Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
We wa zamani sana au hupendi kwenda na wakati? Hiyo ilishapitwa na wakati... kama hupendi kujifunza hebu jaribu kutumia hata "Google"CRDB = Cooperatives Rural and Development Bank
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We wa zamani sana au hupendi kwenda na wakati? Hiyo ilishapitwa na wakati... kama hupendi kujifunza hebu jaribu kutumia hata "Google"CRDB = Cooperatives Rural and Development Bank
Nisaidie kuwaelewesha hao madogoCRDB=CRDB - CRD Bank (X)
NMB=NMB - NM Bank (X)
CRDB imebaki kuitwa CRDB BANK na sio CRD BANK sawa na NMB BANK na sio NM BANKNisaidie kuwaelewesha hao madogo
We wa zamani sana au hupendi kwenda na wakati? Hiyo ilishapitwa na wakati... kama hupendi kujifunza hebu jaribu kutumia hata "Google"
Ni vizuri ukatoa elimu namna ilivyobadilika maana sisi bado tunajua NMB ni kifupi cha maneno National Microfinance Bank,sasa ukisema NMB Bank inamaana neno Bank linarudiwa mara mbili.CRDB imebaki kuitwa CRDB BANK na sio CRD BANK sawa na NMB BANK na sio NM BANK
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka kwa sauti hadi naonekana chizi[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kijana umesoma mzumbe!?Hivi ni "Nairobi fly" au "narrow bee fly"??
1, imezoeleka lakini inatumika na BrE ndio sahihi lakini AmE ni rasket1. Rasket badala ya rack sack
2. Stiki badala tooth pick
3. Kucheers badala ya kutoast
4. Hepi Besdei yake badala ya anniversary yake
Hapo sidhani kama ni kosa, kwa kuwa maneno hayo ni kama yametoholewa kwenye lugha ya kiingereza, kwa kuwa wataalamu wanasema, lugha ya kiswahili'haijitosherezi' niko tayari kusahihishwa.Kwa wale Wanaotumia magari
Saidimira badala ya Sight Mirror....
Rejeta badala ya Radiator...
Eksosi badala ya Exhaust
Spare tyre badala ya Reserve tyre...
Speed Meter badala ya Speed Gauge...
Dabokibini badala ya Double Cabin...
Ni stationers sio stationeryTimu ikizidiwa ikawa inalinda utasikia mashabiki wanasema wanaDEFENCE badala ya kusema wanaDEFEND. Mara nyingi watu huandika neno STATIONARY badala ya STATIONERY.
Unachobishia unakielewa kweli au ndio asili ya ubishi kwenu?Hapo kwa CRDB umeingia cha kike... Ile ni CRDB bank na wala sio CRD Bank "CRDB" imesimama kama jina na wala sio initials.
Mlaleo Asprin mara baada ya kubinafsishwa hizi bank hizo Initials ndo zinatumika kama utambulisho na sio kirefu so usiogope kusema NMB BANK au CRDB BANK sababu ndivo inavyotambulika kwa sasa na kutokana na historia za uanzishwaji wake bado watu wamekariri virefu vyake ingawa oficially haitumiki.Ni vizuri ukatoa elimu namna ilivyobadilika maana sisi bado tunajua NMB ni kifupi cha maneno National Microfinance Bank,sasa ukisema NMB Bank inamaana neno Bank linarudiwa mara mbili.