Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Afadhali utanisaidia kumwelesha huyo "mtoto" Mlaleo ... Nadhani una hekima ya kumwelewesha tu anitake radhi kwa kuniita "mjinga" wakati nilijitolea tu kumfuta ujinga bila malipo yoyote....Ni kweli... lakini kama kuna mtu 45yrs old anesema niko hapa barabara ya kilwa road basi hata kipindi hicho atakua alikuwa anasema niko hapa crdb bank... labda mlaleo aliwasikia wakisema hivyo, labda bado anawasikia maana anaonyesha bado anaishi kwenye hiyo era ya crd bank.
Okeey basi tunaongelea current!!
Naamini utamwambia "Aoneshe hekima yake, afiche upumbavu wake"... Na anaweza pia kunikosoa kwa hili neno "kuonesha" akiamini neno sahihi ni "kuonyesha"
Siku huzi kuna watu wanaenda shuleni kusomea ujinga.