Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Hebu tuwekee kwa maneno namba hii sisi wa memkwa!! TSHS 995,008,008.73 kwa lugha ya malkia
 
Kwenye mpira wa miguu kuna wale wasaidizi wa refa watu wamezoea kutamka kama risemen baada ya linesmen
 
Hebu tuwekee kwa maneno namba hii sisi wa memkwa!! TSHS 995,008,008.73 kwa lugha ya malkia
Ninety nine billion five hundred million eight thousand and eight with seventy three cent TSH

Am i wrong?
 
If I was me i could say , Nine- Ninety five million,eight thousand and eight shillings seventy three cents only
 
Mfuko wa safleti badala ya mfuko wa Sulphate(tamka salfeti)
Chakushangaza ni kwamba hadi ya mifuko ya cement, pollard, Urea n.k, yote watu wanaita mifuko ya safleti)
 
Acha uongo

Mkuu kutamkwa na kuandikwa ni vitu viwili tofauti
For example you can't say developed countries (developdi kantrisi) , we say Developt (pt) countries ( developti kantris)
 
Back
Top Bottom