digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
- Thread starter
- #521
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SelfukondiinaSelfcontainer
SelfukondiinaSelfcontainer
Ivi mkuu missed call inamaanisha Call ilopigwa ikaitaa wee lkn haikupokelewa mpaka ikajikata, so wee ulipigiwa ndo unataarifiwa kua kuna call umeimisMiss called badala ya missed call.
Halafu thenKuna wale wa still bado... Wakati maneno yote yana maana sawa
Namtafuta huyu aliyetamka hivyo 😂😂😂😂😂😂Air hostages badala ya air hostess [emoji16][emoji16][emoji16]
Hii ni sawa na wale wanaosema shemegi badala ya shemejiNeno la kingereza "GIFT" linatakiwa kutamkwa "gifti" ila watu wanatamka "jifti" ambapo ni makosa.
Yuko magogoni muda huu hahahahahahaNamtafuta huyu aliyetamka hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahhahahaahhahah Mkuu hii nayo ni changamoto...yaani sina jibu la harakaIvi mkuu missed call inamaanisha Call ilopigwa ikaitaa wee lkn haikupokelewa mpaka ikajikata, so wee ulipigiwa ndo unataarifiwa kua kuna call umeimis
Sasa huwa najiuliza..kuna mtu anakupigia huku kidole kipo kwa button ya kukatia. Yaan ni paaa uyo keshakata ,wakat mwingine kuna watu ni magwiji wa kubeep yaan utaona mwanga tu ,tayar mtu keshakata.
Hii nayo tunaiita Missed call?? Kuuliza sio ujinga.
"Dume la Nyani haliogopi Umande"
Dah nilikuwa sijui aiseeHivi ni "Nairobi fly" au "narrow bee fly"??
Nikimkamata namtia vifuti hadi akome! 😂😂😂😂😂Yuko magogoni muda huu hahahahahaha
Hakika! Anatakiwa awache kutumia lugha asiyoielewa hahahahahahaNikimkamata namtia vifuti hadi akome! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikawaza labda iitwe "Beeped call" kwa sababu mpigaji anakua nakusuduo la kubeep tu .Hahhahahaahhahah Mkuu hii nayo ni changamoto...yaani sina jibu la haraka