PITC ONE VS PITC TWO HIV TEST RESULTS

PITC ONE VS PITC TWO HIV TEST RESULTS

Naomba uzitaje hizo complications zote zilizomwua.Hapa ndio tutajua kama unazungumza kwa mihemko au unajua unachokisema.
Mwanamke aliyeanzisha hizo harakati ni Christine Maggiore, cheti chake cha kifo kinaonesha kua alikufa kwa nimonia, fangasi za mdomo ambazo zote huhusishwa na maambukizi ya HIV.

Hii ni kutoka AIDStruth.org
 
Ase ikitoka maada inayohusu HIV/AIDS watu wanakuwa na wasiwasi.Huu ugonjwa ni hatari na ni raisi sana kuupata.
 
Mwanamke aliyeanzisha hizo harakati ni Christine Maggiore, cheti chake cha kifo kinaonesha kua alikufa kwa nimonia, fangasi za mdomo ambazo zote huhusishwa na maambukizi ya HIV.

Hii ni kutoka AIDStruth.org

Kwahiyo kwasababu hiyo habari umeipata AIDSthruth.com basi ndio umeiamini kwamba ni kweli?.....he he heee...wewe bado hujui mambo mengi sana na unahitaji kupata shule nzito..

swali:Hivi Huwezi kupata pneumonia na fangasi za mdomoni kwa njia nyingine zaidi ya huyo Mungu HIV?

halafu angalia ulivyosema hapo juu,eti hayo matatizo 'yanahusishwa' na HIV....hata hao unaowaamini wenyewe hawana uhakika.....wangesema yamesababishwa na huyo kibwengo HIV labda ndio ingeleta maana kidogo ingawa bado ni Uongo tu.....kuhusishwa haina maana ya kusababishwa kijana....inabidi usome btn lines ili uweze kuelewa.....hiyo historia ya huyo binti Sidhani kama unaijua vizuri.....pia inabidi ujiulize kwamba,nini sababu halisi ya hawa watu wenye mitazamo tofauti katika suala hili kupigwa vita?

sayansi huendelea kukua kutokana na kukinzana,kupingana hoja,kujadili mitazamo tofauti....sasa kwanini wale wenye mitazamo tofauti wanapigwa vita?...ulishawahi kujiuliza swali hilo na kupata Jibu lake?...hebu jitoe kwenye cage ulimofungiwa halafu uanze upya kutafuta ukweli wa jambo hili....

Jibu hilo swali kwanza,halafu tutakuja kuangalia historia ya huyo dada tuone kama kweli unajua ukisemacho.
 
Pneumonia yaweza kumpata yyt kuanzia watoto infant hata mzee. Fangasi halikadhalika mm mwenyewe napambana na fangasi za kwenye nyayo. Hvyo hoja yako ati huyo mama alikufa na ukimwi haina mashiko
 
Mkuu hapa una maswali matatu lakini umeonesha nijibu moja, nitajibu yote matatu.

1: Nilipokuandikia ule mtandao ni katika kukuonesha reference ya wapi nimekitoa nilichokuambia, sikutaka uone nimetumia kumbukumbu zangu za kidato cha sita kujibu swali lako.

2: Unaweza ukapata, sasa kwanini mwenye HIV/ AIDS akishapata hua haponi? (Utanijibu hili swali) Hiyo ni kwakua mnachokataa hakina uhusiano, uhusiano upo tena mkubwa sana.

3: Ni kweli maendeleo ya kisayansi huja kwa kubishana na katika stages za kufikia hayo maendeleo hua inafika kipindi inabidi mnaopinga mfanye utafiti na kuprove ambacho wenzenu walikiamini hapo mwanzo. Naomba uniambie tangu harakati za Maggiore ni tafiti ngapi zimefanywa kuthibitisha HIV denialism zimethibitisha madai yenu.

N.B. Hii trend ya kuniambia uone kama najua ni kama umejipanga zaidi kunishambulia mimi kuliko hoja zangu.
 
Sasa kama kweli unataka kujua historia ya huyu dada ingia kwenye link hapo chini....hapo ndio utaweza kupata habari za kina zenye kufikirisha na zenye mantiki kuliko zile nyepesi za juu juu za kugusagusa za kimbeambea kutoka kwenye hako ka website ka ujanja ujanja ulikokaweka....

Humu utapata mchanganuo hadi utauona ukweli uko wapi bila kulazimishwa(lakini unatakiwa uwe na free mind tu,usiwe rigid)....

Christine Maggiore dies, but not of HIV
 
1.Una uhakika kwamba HIV anasababisha AIDS?
2.Wanasayansi wanaopinga suala hili wameandika paper nyingi sana kuthibitisha madai yao...wewe ndio hujui na hujawahi kuzisoma...

Usiogope....kuna njia nyingi za kujadili...jiamini na weka hoja zako hapa...
 
Chief mbona mimi nimekuuliza maswali umeyaruka?
Naiendea hiyo link uliyoiweka sasa hivi, natarajia nikirudi nikute majibu.
 
nimeyajibu maswali yako yote.......wewe ndio hujaona kama nimekujibu....na hili ndilo tatizo la watu wengi,si wewe peke yako....kama bado hujaelewa,hebu sema ni swali gani sijalijibu.
 
Nimeignore the fact kua link uliyonipa ni bias, imelenga kuwatetea denialists.

Nimeisoma link yako, sababu walizotoa za kifo cha Maggiore ni nimonia ambayo ilikua accelerated na kupungukiwa na maji iliyotokana matumizi ya mizizi.

Nchi aliyopo unapungukiwa maji unaenda hospital kisha unakufa kisa kukosa maji, mkuu unaona kabisa hii kitu inaingia akilini? Angekua jangwani peke yake ningekua sina tatizo ila USA na hospitali alifika.

Lawama zimetupiwa kwa ile mizizi aliyokunywa, mwanae amefariki lawama zimetupiwa kwa amoksilin, korona anasema ni nimonia denialists wanapinga.

Hii link haijanisukuma bado kukufuata upande wako, pia nitakua na tayari kukuonesha denialist mwingine aliyefariki kwa nimonia pia.
 
nimeyajibu maswali yako yote.......wewe ndio hujaona kama nimekujibu....na hili ndilo tatizo la watu wengi,si wewe peke yako....kama bado hujaelewa,hebu sema ni swali gani sijalijibu.
Niambie kwanini kila mwenye HIV/ AIDS akipata nimonia hua haponi?

Nioneshe tafiti ambayo inaonesha kua hakuna uhusiano kati ya HIV/ AIDS.

Haya ndiyo haujayajibu mkuu.
 
nimeshayajibu yote hayo....chunguza vizuri mkuu....
 
Pneumonia yaweza kumpata yyt kuanzia watoto infant hata mzee. Fangasi halikadhalika mm mwenyewe napambana na fangasi za kwenye nyayo. Hvyo hoja yako ati huyo mama alikufa na ukimwi haina mashiko
Mkuu nahisi hujaimeng'enya vizuri post yangu.

Mtu akishapa nimonia tunatarajia apone (kwa kesi ya huyu mama alitibiwa miezi sita iliyopita kwa mara ya kwanza) ila mwenye HIV/AIDS akipata nimonia ndiyo anakwenda hivyo, haswa haswa akiwa na mentality ya denialism.

Fangasi na nimonia kwa huyu mama imekua accelerated na HIV/AIDS, wewe unajifananisha naye vipi?
 
1.Una uhakika kwamba HIV anasababisha AIDS?
2.Wanasayansi wanaopinga suala hili wameandika paper nyingi sana kuthibitisha madai yao...wewe ndio hujui na hujawahi kuzisoma...

Usiogope....kuna njia nyingi za kujadili...jiamini na weka hoja zako hapa...
[emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] hili siyo jibu mkuu au Kuniuliza upya swali ndiyo jibu?
nimeshayajibu yote hayo....chunguza vizuri mkuu....
 
Nina uwezo wa kufafanua hili suala vizuri tu lakini inabidi kuweka angalizo.Unaweza kujikuta unatoa majibu hapa na mtu akapata stroke kumbe maandishi hayo ameyaona kwa mtu wake wa karibu.Naungana na wale walioshauri muhusika aende vituo vya ushauri nasaha na upimaji ili akapate ufafanuzi.Mambo mengine ni for medical purpose only.Ni SIRI.

Fafanua boss kwa faida ya wote, nmekua katika pita pita zangu nikakutana na hiyo kitu nikataka kujua zaid
 
Nina uwezo wa kufafanua hili suala vizuri tu lakini inabidi kuweka angalizo.Unaweza kujikuta unatoa majibu hapa na mtu akapata stroke kumbe maandishi hayo ameyaona kwa mtu wake wa karibu.Naungana na wale walioshauri muhusika aende vituo vya ushauri nasaha na upimaji ili akapate ufafanuzi.Mambo mengine ni for medical purpose only.Ni SIRI.

Nimetoa hiyo hoja pale juu kuna NSHENZI mmoja kanishambulia sana ila NIMEMSAMEHE kwa sababu hajui nini nilimasnisha.

Pamoja mtaalamu
 
..Sometimes zinakuwa refered as HIV 1 and HIV 2 Ya kwanza Ikimaanisha ni "NEGATIVE" na nyingine "POSITIVE"
 
plse usicomment if ur not sure this very sensitive
Mdau hapo juu amenitisha kusema "...uongo kuhusu HIV/AIDS" kuna mwanamama baada ya kupata Ukimwi alianzisha harakati za kupinga kua hakuna uhusiano kati ya HIV na AIDS.

Suprisingly akapata na wafuasi wa harakati zake, lakini mwisho alifariki na kilichomuua ni complications zilizotokana na HIV/AIDS.

Back
Top Bottom