PITC ONE VS PITC TWO HIV TEST RESULTS

PITC ONE VS PITC TWO HIV TEST RESULTS

plse usicomment if ur not sure this very sensitive
Bado sijajua kwanini umeniquote na kusema "...kama sipo sure..." Nipo sure mkuu, ukiendelea kufuatilia hizo posts utakuta mpaka references.
 
plse usicomment if ur not sure this very sensitive
..Am smart enough NOT to participate On a Fools errand Of debating On the existance Of aids with people who lack doctrate knowledge achilia mbali they can't even see prove of people dying,henceforth nna uhakika na nilicho-Comment sema hutatikuta Aidsthruth
 
Sijajua mzizi wa swali lako mkuu

Nashauri mambo mengine uwe mnamaliza hospitali huko huko mkuu

Mkuu usijitie Google kutaka kila kitu ujue........kama hujui kaa pemben wanaojua wajibu. Kama mzizi haueleweki member wengine wanajibuje??
 
Hizo sio test....huo ni upuuzi tu,wala hutakiwi kujua maana yake kwa kuwa ni upuuzi tu....

Kati ya mambo ya kipumbavu duniani kuwahi kutokea,Uongo kuhusu HIV/AIDS ni mojawapo.
Uongo kivipi mkuu??
 
WaKuu habarini,

Kwa mwenye uelewa wa hizo HIV TEST RESULTS anisaidie, nataka kujua nini maana ya kila moja.

Karibuni
Swali lako ni jepes mno ila makushauri huyo provider aliekushawishi kupima ndio akuambia maana yake nin kama una swali jingine sema
Kwahiyo unataka kusema kwamba mkuu Deception amekanyaga nyoka kwenye mkia hivyo ubishi wake ni kwa ajili ya kujifariji tu?

Mwanamke aliyeanzisha hizo harakati ni Christine Maggiore, cheti chake cha kifo kinaonesha kua alikufa kwa nimonia, fangasi za mdomo ambazo zote huhusishwa na maambukizi ya HIV.

Hii ni kutoka AIDStruth.org

Sijajua mzizi wa swali lako mkuu

Nashauri mambo mengine uwe mnamaliza hospitali huko huko mkuu
 
Zipo hizo..zinatumika sana kwa wajawazito
Hakuna kitu kama hicho tunatumia PMTCT 1 na PMTCT 2 kwa wajawazito hyo PITC ni mtoa huduma anamshauri client apime papo kwa papo baada ya kuona dalili flan kwa mgonjwa zinazoashiria maambukizi au hata bila kuona dalili VCT ndio hiari ya client kwenda kupima kwahyo hakuna PITC 1$2 BALI KUNA PITC PEKEE NA VCT NADHAN NITAKUWA NIMESHAMJIBU MTOA MADA ILI UPANDE WA MAJIBU YAKO NENDA RCH ALIPOJAZIWA HILO CARD LA UJAUZITO WATAKUELEZA
 
Pneumonia yaweza kumpata yyt kuanzia watoto infant hata mzee. Fangasi halikadhalika mm mwenyewe napambana na fangasi za kwenye nyayo. Hvyo hoja yako ati huyo mama alikufa na ukimwi haina mashiko
Ukimw ni sababu tu lakin client anakufa kwa magonjwa mengine tofauti kutoka na mwili kupungikiwa KINGA MWILI na kufanya kushindwa kuhimili mashambuliz ya magonjwa mbalimbali
 
Mkuu usijitie Google kutaka kila kitu ujue........kama hujui kaa pemben wanaojua wajibu. Kama mzizi haueleweki member wengine wanajibuje??

Wewe ni kilaza unahisi kwanini nimemwambia hii issue amalizie hukuhuko hospital

Sikiliza mkuu nikwambie kitu kuna vitu ambavyo havitolewi maelezo hovyo hovyo kisa mtu kauliza.

Hivi unajua matokeo ya hicho kitu anachokiuliza akiwa akipata ukweli na ukawa hasi.
 
Mkuu, Kuuliza manake nmejiandaa na majibu yote ndo mana nikataka kujua......we unahisi sikujiuliza kama kuna uwezekan wa majibu nisio yataka???? Nilijua hayo yote ndomana nikauliza
 
Hakuna kitu kama hicho tunatumia PMTCT 1 na PMTCT 2 kwa wajawazito hyo PITC ni mtoa huduma anamshauri client apime papo kwa papo baada ya kuona dalili flan kwa mgonjwa zinazoashiria maambukizi au hata bila kuona dalili VCT ndio hiari ya client kwenda kupima kwahyo hakuna PITC 1$2 BALI KUNA PITC PEKEE NA VCT NADHAN NITAKUWA NIMESHAMJIBU MTOA MADA ILI UPANDE WA MAJIBU YAKO NENDA RCH ALIPOJAZIWA HILO CARD LA UJAUZITO WATAKUELEZA
Hili jibu limeeleweka vizuri sana
 
Mkuu, Kuuliza manake nmejiandaa na majibu yote ndo mana nikataka kujua......we unahisi sikujiuliza kama kuna uwezekan wa majibu nisio yataka???? Nilijua hayo yote ndomana nikauliza

Mkuu,

Hatutafika bas mkosefu mimi nimekosea nisamehe bure
 
Kama hujui kitu tuliza mshono, ni bora ukae kimya
Hajui huyo akae kimya mwambie akasome ile SD BIOLINE KUNA C 1 2 alafu ajue c ni control na ajue kazi yake [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] clinician mstaafu
 
Back
Top Bottom