Pitia hapa kama uliwahi kuharibiwa mambo yako kimazingara (ulozi) na namna ulivyojinasua

Pitia hapa kama uliwahi kuharibiwa mambo yako kimazingara (ulozi) na namna ulivyojinasua

1.,nilishambuliwa na nguvu za giza(ulozi ushirikina)
nilijaribu kwenda kutibiwa kwa waganga wengi sana wa kienyeji pamoja na kutambika mizimu bila mafanikio yoyote....

2. Namna nilivyojinasua -nilimuomba Yesu anisaidie ,Yesu akanisikia akanisaidia akanihurumia na akanisaidia na kuniponya na kuniokoa bure. YESU PEKEE NDIYE MWOKOZI Aliyeniokoa.
 

Attachments

  • images - 2024-11-09T213732.108.jpeg
    images - 2024-11-09T213732.108.jpeg
    23 KB · Views: 5
Nilishapitia majanga mengi ikiwemo ajali,kupoteza kazi,kucheleweshwa for no reason eti jina limerukwa just for no reason. Ila sikuwahi husisha na ulozi japo wengi waliamini hivyo na kunishauri kwenda kuchungulia kwa wataalam ila nikawapuuza tu japo hadi wife nae alikubaliana nao. Ilikua miaka mitano ya moto haswa...kulala njaa kawaida,watoto kukaa mwezi home bila ada ilikua kawaida,mwenye nyumba kuja kufunga nyumba yake ilikua kawaida..ila ubishi ulinisaidia pamoja na imani yangu..sikuwahi hata kanyaga kwa maprophet ila nilisali mwenyewe tu hadi nikainuka tena..na kila mtu anashangaa nilivoinuka na kusimama hata zaidi ya Cha kushangaza nimekua role model wao 😄.Ukiamini ni ulozi inakua hivyo,usipoamini inakua hivyo pia. Japo kweli hizo case zipo
 
Nilishapitia majanga mengi ikiwemo ajali,kupoteza kazi,kucheleweshwa for no reason eti jina limerukwa just for no reason. Ila sikuwahi husisha na ulozi japo wengi waliamini hivyo na kunishauri kwenda kuchungulia kwa wataalam ila nikawapuuza tu japo hadi wife nae alikubaliana nao. Ilikua miaka mitano ya moto haswa...kulala njaa kawaida,watoto kukaa mwezi home bila ada ilikua kawaida,mwenye nyumba kuja kufunga nyumba yake ilikua kawaida..ila ubishi ulinisaidia pamoja na imani yangu..sikuwahi hata kanyaga kwa maprophet ila nilisali mwenyewe tu hadi nikainuka tena..na kila mtu anashangaa nilivoinuka na kusimama hata zaidi ya awali. Ukiamini ni ulozi inakua hivyo,usipoamini inakua hivyo pia. Japo kweli hizo case zipo
Duh pole

Naamini maombi yako yalifanya kazi
 
Back
Top Bottom