Pitia hapa kama uliwahi kuharibiwa mambo yako kimazingara (ulozi) na namna ulivyojinasua

1.,nilishambuliwa na nguvu za giza(ulozi ushirikina)
nilijaribu kwenda kutibiwa kwa waganga wengi sana wa kienyeji pamoja na kutambika mizimu bila mafanikio yoyote....

2.Namna nilivyojinasua -nilimuomba Yesu anisaidie ,Yesu akanisikia akanisaidia akanihurumia na akanisaidia na kuniponya na kuniokoa bure.YESU PEKEE NDIYE MWOKOZI Aliyeniokoa.
Hongera mkuu
 
Hivi kidunia bongo tunashika namba ngapi kwa ulozi? Isijekuwa tunachukua kombe la dunia na haitangazwi
 
Nilishapitia majanga mengi ikiwemo ajali,kupoteza kazi,kucheleweshwa for no reason eti jina limerukwa just for no reason. Ila sikuwahi husisha na ulozi japo wengi waliamini hivyo na kunishauri kwenda kuchungulia kwa wataalam ila nikawapuuza tu japo hadi wife nae alikubaliana nao. Ilikua miaka mitano ya moto haswa...kulala njaa kawaida,watoto kukaa mwezi home bila ada ilikua kawaida,mwenye nyumba kuja kufunga nyumba yake ilikua kawaida..ila ubishi ulinisaidia pamoja na imani yangu..sikuwahi hata kanyaga kwa maprophet ila nilisali mwenyewe tu hadi nikainuka tena..na kila mtu anashangaa nilivoinuka na kusimama hata zaidi ya Cha kushangaza nimekua role model wao 😄.Ukiamini ni ulozi inakua hivyo,usipoamini inakua hivyo pia. Japo kweli hizo case zipo
Mimi napitia kipindi cha kucheleweshwa,, kukataliwa huu mwaka wa 7 sasa sijasoma sana ofkoz ila kila kazi naaidiwa tuu then imetoka,, nikipata kazi simaliz mwezi kunatokea sintofahamu inakuwa imeisha hivyo, ila sikati tamaa namuamini mungu naamini kuna siku atanijibia,, agemate wangu karibu wote wako mbali sana kimaisha,, sometime nawaza mambo mengi sana nakata taama ila mwisho narudisha imani kwa mungu
 
Pole mkuu 7years of hell duuu
 
Pole mkuu 7years of hell duuu
pole mkuu
Mimi napitia kipindi cha kucheleweshwa,, kukataliwa huu mwaka wa 7 sasa sijasoma sana ofkoz ila kila kazi naaidiwa tuu then imetoka,, nikipata kazi simaliz mwezi kunatokea sintofahamu inakuwa imeisha hivyo, ila sikati tamaa namuamini mungu naamini kuna siku atanijibia,, agemate wangu karibu wote wako mbali sana kimaisha,, sometime nawaza mambo mengi sana nakata taama ila mwisho narudisha imani kwa mungu
Pole chief , naelewa changamoto ulizokutana nazo zinafanana na nilizopitia mimi nilirudishwa nyuma kwa miaka zaidi ya 10 iliibwa na kuliwa na tunutu,madumadu,parare na nzige.
Hongera kwa kuweka tumaini lako kwa Mungu,hukutumainia wanadamu (waganga wa kienyeji/mizimu/mitume na manabii wa uongo mafuta ya upako)..ila umemtumainia Mungu wa mbinguni Mungu wa kweli bila kukata tamaa.
Mungu hatakuacha atakusaidia atakurudishia miaka yako iliyopotea ibwa iliyoliwa,na zaidi na zadi.
 
Attachments

  • Screenshot_20241110-081016.jpg
    Screenshot_20241110-081016.jpg
    87.3 KB · Views: 3
Wakishafanya yao na wewe walinzi wako wanakwambia namna ya kutoka (ibada ndio njia kuu).

Kama wewe ni mvivu wa ibada kama mimi na ulinzi wako mkali, kitakochobaki kwenye (ulozi) wao ni kuzuia nyota yako tuu kupaa. Hutosogea lakini walinzi wako hawatokubali kamwe.

Dah, wabongo nuksi, sana.
 
pole mkuu
Pole chief , naelewa changamoto ulizokutana nazo zinafanana na nilizopitia mimi nilirudishwa nyuma kwa miaka zaidi ya 10 iliibwa na kuliwa na tunutu,madumadu,parare na nzige.
Hongera kwa kuweka tumaini lako kwa Mungu,hukutumainia wanadamu (waganga wa kienyeji/mizimu/mitume na manabii wa uongo mafuta ya upako)..ila umemtumainia Mungu wa mbinguni Mungu wa kweli bila kukata tamaa.
Mungu hatakuacha atakusaidia atakurudishia miaka yako iliyopotea ibwa iliyoliwa,na zaidi na zadi.
Nashukuru sana ndugu

Aisee..dhaaa...naishi Kijiji wanachoamiku kuwa na washirikina wengi shinyanga...kilanjambo lazima Lina ushirikina ndani yake...nkawapuuzia nkajenga kwa mbinde...nkianzisha Jambo sitaki liishie njiani...mwisho wa siku majanga mpaka nkawashirikisha wazazi wakanionya isijaribu kusafisha nyota au kwenda kuangalia mahalo...watakupoteza we Sali muamini Mungu tuliye kufunza...mpaka Sasa nipo hapa MTU mzima nashindia 15k au ukose kabisa kusali ndio sijua napanga kuwakimbia pande hizi familia nayo imeshindikana...ulozi upo vituko vipo...njiwa wawili washakufa mbele yangu vifurishi vya dawa getiti....paka rangi ya chui macho ya kumetameta live....usicheze na walimwengu..
 
1.,nilishambuliwa na nguvu za giza(ulozi ushirikina)
nilijaribu kwenda kutibiwa kwa waganga wengi sana wa kienyeji pamoja na kutambika mizimu bila mafanikio yoyote....

2. Namna nilivyojinasua -nilimuomba Yesu anisaidie ,Yesu akanisikia akanisaidia akanihurumia na akanisaidia na kuniponya na kuniokoa bure. YESU PEKEE NDIYE MWOKOZI Aliyeniokoa
pasta; Mtu mmoja aseme ni Bwana!
kondoo; Eimeeen
 
Mimi napitia kipindi cha kucheleweshwa,, kukataliwa huu mwaka wa 7 sasa sijasoma sana ofkoz ila kila kazi naaidiwa tuu then imetoka,, nikipata kazi simaliz mwezi kunatokea sintofahamu inakuwa imeisha hivyo, ila sikati tamaa namuamini mungu naamini kuna siku atanijibia,, agemate wangu karibu wote wako mbali sana kimaisha,, sometime nawaza mambo mengi sana nakata taama ila mwisho narudisha imani kwa mungu
Tusikate tamaa tuendelee kupambana na kuamini zaidi kwenye mafanikio.
 
Aisee..dhaaa...naishi Kijiji wanachoamiku kuwa na washirikina wengi shinyanga...kilanjambo lazima Lina ushirikina ndani yake...nkawapuuzia nkajenga kwa mbinde...nkianzisha Jambo sitaki liishie njiani...mwisho wa siku majanga mpaka nkawashirikisha wazazi wakanionya isijaribu kusafisha nyota au kwenda kuangalia mahalo...watakupoteza we Sali muamini Mungu tuliye kufunza...mpaka Sasa nipo hapa MTU mzima nashindia 15k au ukose kabisa kusali ndio sijua napanga kuwakimbia pande hizi familia nayo imeshindikana...ulozi upo vituko vipo...njiwa wawili washakufa mbele yangu vifurishi vya dawa getiti....paka rangi ya chui macho ya kumetameta live....usicheze na walimwengu..
Alafu watu wanasema uchawi haupo
 
Huyo boya mbona alishindwa kujinasua yeye msalabani
Kwanza have some respect pili, angetaka angeweza, ili mipango ya Mungu itimie ilikuwa lazima afie pale, hilo alitambua. Is why siku ya tatu alifufuka
 
Back
Top Bottom