Hongera mkuu1.,nilishambuliwa na nguvu za giza(ulozi ushirikina)
nilijaribu kwenda kutibiwa kwa waganga wengi sana wa kienyeji pamoja na kutambika mizimu bila mafanikio yoyote....
2.Namna nilivyojinasua -nilimuomba Yesu anisaidie ,Yesu akanisikia akanisaidia akanihurumia na akanisaidia na kuniponya na kuniokoa bure.YESU PEKEE NDIYE MWOKOZI Aliyeniokoa.
Hizi kunyolewa nywele, kukutana na nazi njia panda, mchawi kunasa / kukamatwa n.k nimeona sana, uswahilini kuna haya mambo sanaHahah sasa uswhilini si ndio ngome ya ulozi mkuu ahah
Kwani uongo???mungu gani anasurubiwa?Hata kama si imani yako..hupaswi kabisa kuandika hivyo..
Mimi napitia kipindi cha kucheleweshwa,, kukataliwa huu mwaka wa 7 sasa sijasoma sana ofkoz ila kila kazi naaidiwa tuu then imetoka,, nikipata kazi simaliz mwezi kunatokea sintofahamu inakuwa imeisha hivyo, ila sikati tamaa namuamini mungu naamini kuna siku atanijibia,, agemate wangu karibu wote wako mbali sana kimaisha,, sometime nawaza mambo mengi sana nakata taama ila mwisho narudisha imani kwa munguNilishapitia majanga mengi ikiwemo ajali,kupoteza kazi,kucheleweshwa for no reason eti jina limerukwa just for no reason. Ila sikuwahi husisha na ulozi japo wengi waliamini hivyo na kunishauri kwenda kuchungulia kwa wataalam ila nikawapuuza tu japo hadi wife nae alikubaliana nao. Ilikua miaka mitano ya moto haswa...kulala njaa kawaida,watoto kukaa mwezi home bila ada ilikua kawaida,mwenye nyumba kuja kufunga nyumba yake ilikua kawaida..ila ubishi ulinisaidia pamoja na imani yangu..sikuwahi hata kanyaga kwa maprophet ila nilisali mwenyewe tu hadi nikainuka tena..na kila mtu anashangaa nilivoinuka na kusimama hata zaidi ya Cha kushangaza nimekua role model wao π.Ukiamini ni ulozi inakua hivyo,usipoamini inakua hivyo pia. Japo kweli hizo case zipo
Pole mkuu 7years of hell duuuMimi napitia kipindi cha kucheleweshwa,, kukataliwa huu mwaka wa 7 sasa sijasoma sana ofkoz ila kila kazi naaidiwa tuu then imetoka,, nikipata kazi simaliz mwezi kunatokea sintofahamu inakuwa imeisha hivyo, ila sikati tamaa namuamini mungu naamini kuna siku atanijibia,, agemate wangu karibu wote wako mbali sana kimaisha,, sometime nawaza mambo mengi sana nakata taama ila mwisho narudisha imani kwa mungu
Inauma sana mkuuPole mkuu 7years of hell duuu
pole mkuuPole mkuu 7years of hell duuu
Pole chief , naelewa changamoto ulizokutana nazo zinafanana na nilizopitia mimi nilirudishwa nyuma kwa miaka zaidi ya 10 iliibwa na kuliwa na tunutu,madumadu,parare na nzige.Mimi napitia kipindi cha kucheleweshwa,, kukataliwa huu mwaka wa 7 sasa sijasoma sana ofkoz ila kila kazi naaidiwa tuu then imetoka,, nikipata kazi simaliz mwezi kunatokea sintofahamu inakuwa imeisha hivyo, ila sikati tamaa namuamini mungu naamini kuna siku atanijibia,, agemate wangu karibu wote wako mbali sana kimaisha,, sometime nawaza mambo mengi sana nakata taama ila mwisho narudisha imani kwa mungu
Nashukuru sana ndugupole mkuu
Pole chief , naelewa changamoto ulizokutana nazo zinafanana na nilizopitia mimi nilirudishwa nyuma kwa miaka zaidi ya 10 iliibwa na kuliwa na tunutu,madumadu,parare na nzige.
Hongera kwa kuweka tumaini lako kwa Mungu,hukutumainia wanadamu (waganga wa kienyeji/mizimu/mitume na manabii wa uongo mafuta ya upako)..ila umemtumainia Mungu wa mbinguni Mungu wa kweli bila kukata tamaa.
Mungu hatakuacha atakusaidia atakurudishia miaka yako iliyopotea ibwa iliyoliwa,na zaidi na zadi.
Nashukuru sana ndugupole mkuu
Pole chief , naelewa changamoto ulizokutana nazo zinafanana na nilizopitia mimi nilirudishwa nyuma kwa miaka zaidi ya 10 iliibwa na kuliwa na tunutu,madumadu,parare na nzige.
Hongera kwa kuweka tumaini lako kwa Mungu,hukutumainia wanadamu (waganga wa kienyeji/mizimu/mitume na manabii wa uongo mafuta ya upako)..ila umemtumainia Mungu wa mbinguni Mungu wa kweli bila kukata tamaa.
Mungu hatakuacha atakusaidia atakurudishia miaka yako iliyopotea ibwa iliyoliwa,na zaidi na zadi.
πππHuyo boya mbona alishindwa kujinasua yeye msalabani
pasta; Mtu mmoja aseme ni Bwana!1.,nilishambuliwa na nguvu za giza(ulozi ushirikina)
nilijaribu kwenda kutibiwa kwa waganga wengi sana wa kienyeji pamoja na kutambika mizimu bila mafanikio yoyote....
2. Namna nilivyojinasua -nilimuomba Yesu anisaidie ,Yesu akanisikia akanisaidia akanihurumia na akanisaidia na kuniponya na kuniokoa bure. YESU PEKEE NDIYE MWOKOZI Aliyeniokoa
Tusikate tamaa tuendelee kupambana na kuamini zaidi kwenye mafanikio.Mimi napitia kipindi cha kucheleweshwa,, kukataliwa huu mwaka wa 7 sasa sijasoma sana ofkoz ila kila kazi naaidiwa tuu then imetoka,, nikipata kazi simaliz mwezi kunatokea sintofahamu inakuwa imeisha hivyo, ila sikati tamaa namuamini mungu naamini kuna siku atanijibia,, agemate wangu karibu wote wako mbali sana kimaisha,, sometime nawaza mambo mengi sana nakata taama ila mwisho narudisha imani kwa mungu
Alafu watu wanasema uchawi haupoAisee..dhaaa...naishi Kijiji wanachoamiku kuwa na washirikina wengi shinyanga...kilanjambo lazima Lina ushirikina ndani yake...nkawapuuzia nkajenga kwa mbinde...nkianzisha Jambo sitaki liishie njiani...mwisho wa siku majanga mpaka nkawashirikisha wazazi wakanionya isijaribu kusafisha nyota au kwenda kuangalia mahalo...watakupoteza we Sali muamini Mungu tuliye kufunza...mpaka Sasa nipo hapa MTU mzima nashindia 15k au ukose kabisa kusali ndio sijua napanga kuwakimbia pande hizi familia nayo imeshindikana...ulozi upo vituko vipo...njiwa wawili washakufa mbele yangu vifurishi vya dawa getiti....paka rangi ya chui macho ya kumetameta live....usicheze na walimwengu..
Amen πTusikate tamaa tuendelee kupambana na kuamini zaidi kwenye mafanikio.
Kwanza have some respect pili, angetaka angeweza, ili mipango ya Mungu itimie ilikuwa lazima afie pale, hilo alitambua. Is why siku ya tatu alifufukaHuyo boya mbona alishindwa kujinasua yeye msalabani