Pitia kitabu hiki. Ni summary ya Self help books zote

Ukisoma kitabu cha Mark Manson "EVERYTHING IS FUCKED" lazima mtazamo wako kwenye mambo ya dini utakuwa tofauti.
Kiweke mkuu sisi watu tunaoamini Dini hatuogopi kusoma vitu tofauti kwa sababu kilichotufikisha kwenye imani ya Dini ni kusoma hukohuko,so haimake sense mtu akaogopa kusoma Ideas mpya eti kwa kuhofia atamkataa Mungu.

Ukiona mtu anaogopa kusoma vitabu kwa hofu hiyo basi mtu huyo imani yake hakuipata kwa maarifa bali aliipata kwa ujinga wa kukaririshwa tu.

Weka hicho kutabu wadau tuzame humo
 
Upo sahihi kabisa mkuu,nitakiweka hapa
 
🤫
 
Everything is https://jamii.app/JFUserGuide,the book about hopeView attachment Everything Is Fcked (Mark Manson) (Z-Library).pdf
 
Back
Top Bottom