Pitso Masomane ampigia saluti Pape Sakho

Pitso Masomane ampigia saluti Pape Sakho

Tunawazoom tu mnavyofurahia ,
Lakini acha mfurahi maana ndio ubigwa wenu msimu huu goli LA sakho na kwenda misri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena m zoom vizureee, na tuba furahaa mnooo.
Ubingwa kwetu ni kitu cha kawaida, tushakua sanaaa.

Mdogo ake Mane kawapa sindano ya kristapen.

Byuti byuti.
 
Hivi sakho Hilo goal si alifunga dhidi ya timu ya azizi kii na azizi akiwemo kabisa?
Tena alipanua domo lake lile km pango la Amboni. Akiwa anastaajabu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sakho hana maajabu yoyote papara nyingi tu mwisho huwa anapoteza mipira sasa angalia jinsi Denis Nkane alivyousoma mchezo wa Coastal Union FA na kufunga goli muhimu sana.
 
Hayo magoli huko kwenu aliyafunga nani? au mlitetemeshwa tu mwaka mzima mwishowe kiatu kikaenda kwa mwingine?

Wacha ushamba unateseka kwa maumivu.
Huyo akitetema anaishia kupata ng'ombe tu.
 
Mpaka Mosemane kupost icho kitu inamaana keshamfatilia na akaona Sakho anakitu.lakini kuna mla vichwa vya kuku pale Buza bado anabisha.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wapo kimbiji mkuu
 
Kwakua kapigiwa salute na pitso sio!! Hivi timu za kaskazini mnazichukuliaje kwa mfano! Angalia mishahara wanayotoa halafu urudie maneno yako. Pale wydad kuna wachezaji wazuri zaidi ya sakho, ila washabiki wa simba some of them mtamkuza sana.
Mbona hawajashinda hiyo tuzo
 
Back
Top Bottom