🗣️"Mlete mdhungu" in Ahmed Ali's voice!Mikia buana View attachment 2347743
Hawa jamaa wanapelekwa pelekwa tu kama magari mabovu na viongozi wao!Mbumbumbu fc katika ubora wao.
Mbumbumbu hawezi elewa hilosimba wana uwezo kumlipa Pitso milioni zaidi ya 200 kwa mwezi? huyo ameshavuka kiwango cha kufundisha timu kama za simba.
Kama kawaida yenu..!!! yule mwingine si alifundisha miamba ya huko majuu..!! Na huyu aliyefukuzwa,wakati wa aplikesheni si kulikuwa na mia na katika hao mmoja wapo ni wa man u? Tulieni mnyoleweTUMEPIGWA WANANGU
Mpeni Matola,huyo miezi mitatu mtamtimua,ila mkimpa Tola boy mtamwongeza misimu🖐️mfululizo🤣🤣Simba sports club are in talks with former Al Ahly head coach Pitso Matsomane, hao ndio Simba.
Zoran Mack ameomba mwenyewe ku terminate contract na Simba wamekubali baada ya kuona their discussions with Pitso Matsomane are in good condition.
Welcome Pitso Matsomane
Watazidi kumnyanyapaa,hivyo atawakimbia siku SII nyingi🤔Sasa Mthungu itakuwaje?
simba wana uwezo kumlipa Pitso milioni zaidi ya 200 kwa mwezi? huyo ameshavuka kiwango cha kufundisha timu kama za simba.
Mo sabuni hana hela za kupoteza sasaivi.Mshahara ni makubaliano, inawezekana hajali mashara ila anataka kukaa karibu na mlima kilimanjaro, au Zanzibar... kuna factors nyingi ukiondoa mshahara zinazofanya mtu kukubali kazi.
Atafundisha onlineUnless Simba Sc kupitia Mo waamue kujikamua ipasavyo kwenye mshahara marupurupu mengine, usajili wa nguvu kutokana na matakwa ya Mosimane dirisha dogo, hawataweza kumleta Pitso.
🤣🤣🤣🗣️"Mlete mdhungu" in Ahmed Ali's voice!
Na kitu kizito sanaaTUMEPIGWA WANANGU
Huu uzi ukiingia niite mbwa niko pale nimekaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2347730
Uzi na ufungwe tayari umeshatoa majibuHata aje kocha wa Man city mpira wa bongo huchezwa vilingeni tu[emoji28]
Nakuja na chai pipa mbili tumalize hiyo ngano mara moja