Pitso Matsomane mtu kazi, kocha mpya Simba

Pitso Matsomane mtu kazi, kocha mpya Simba

Mbumbumbu fc katika ubora wao.
Hawa jamaa wanapelekwa pelekwa tu kama magari mabovu na viongozi wao!

Hivi wameambiwa kweli sababu ya msingi ya kutimuliwa kwa huyo kocha ndani ya miezi miwili tu!!! Au wenyewe muda huu watakuwa wanashangilia tu kama kawaida yao!!
 
TUMEPIGWA WANANGU
Kama kawaida yenu..!!! yule mwingine si alifundisha miamba ya huko majuu..!! Na huyu aliyefukuzwa,wakati wa aplikesheni si kulikuwa na mia na katika hao mmoja wapo ni wa man u? Tulieni mnyolewe
 
Simba sports club are in talks with former Al Ahly head coach Pitso Matsomane, hao ndio Simba.

Zoran Mack ameomba mwenyewe ku terminate contract na Simba wamekubali baada ya kuona their discussions with Pitso Matsomane are in good condition.

Welcome Pitso Matsomane
Mpeni Matola,huyo miezi mitatu mtamtimua,ila mkimpa Tola boy mtamwongeza misimu🖐️mfululizo🤣🤣
 
Unless Simba Sc kupitia Mo waamue kujikamua ipasavyo kwenye mshahara marupurupu mengine, usajili wa nguvu kutokana na matakwa ya Mosimane dirisha dogo, hawataweza kumleta Pitso.
 
simba wana uwezo kumlipa Pitso milioni zaidi ya 200 kwa mwezi? huyo ameshavuka kiwango cha kufundisha timu kama za simba.

Mshahara ni makubaliano, inawezekana hajali mashara ila anataka kukaa karibu na mlima kilimanjaro, au Zanzibar... kuna factors nyingi ukiondoa mshahara zinazofanya mtu kukubali kazi.
 
Mshahara ni makubaliano, inawezekana hajali mashara ila anataka kukaa karibu na mlima kilimanjaro, au Zanzibar... kuna factors nyingi ukiondoa mshahara zinazofanya mtu kukubali kazi.
Mo sabuni hana hela za kupoteza sasaivi.
 
Back
Top Bottom