Pitso Matsomane mtu kazi, kocha mpya Simba

Pitso Matsomane mtu kazi, kocha mpya Simba

Pitso Mosimane = Juma Mgunda ✔️

Thread closed ✍️🤸🤸🤸🤸
 
Pitso Mosimane = Juma Mgunda [emoji3581]

Thread closed [emoji3578][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Unaagiza Pitso Mosimane kikuu wanakuletea Juma mgunda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawezi kulipwa hiyo pesa lakini atakubali akiwa na malengo ya kuitumia simba kama ngazi!! Anaweza hata kulipa pesa ili apate fursa ya kuwa kocha wa Simba!! Hapo mnasemaje?
Simba kama ngazi! U r high?
The man has won champions league more than once alafu atumia kama ngazi!!
Yeye mwenyewe kashasema next assigment angependa iwe national team ashinde afcon maana ndio kombe hajashinda.

Kama ni club football basi timu ambayo inataka kucheza final several times yaani timu inayotaka weka project hivyo sio mtu wa mikatababya mwaka mmoja mmoja
 
Back
Top Bottom