Pitso Mosimane aisifia Simba akihimiza makocha wa South Africa waombe kuifundisha

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Pitso anakuambia makocha kama Eric Tinkler ni wakati sahihi wa kuomba kufundisha teams za nje ya south africa kama Simba huku akiitaja kama team kubwa ambayo ni kawaida yake kuwa kwenye group stages.

“I mean we are in the same group as Simba (in the CAF Champions League) I will be so disappointed to hear that none of the South African coaches applied or tried to coach Simba, a team that is always in the group stages with the likes of Al Ahly. We can’t settle only for what we have at home, we have the quality to do that people like Cavin Johnson are here with us. South African coaches can do it.

Mosimane made reference to former Orlando Pirates head coach Eric Tinkler, who according to Mosimane, has the ability and qualifications to coach big teams like Tanzanian giants Simba SC.

“I mean people like Eric Tinkler, they are out of a job now, you can’t be doing the same thing all the time like a hamster in a wheel. I think he has the CV to coach Simba. I’m not saying that he should go there but I mentioned his name. he’s been to the Champion’s League and Confederation Cup final with Orlando Pirates. He’s got the experience and a bigger CV than the Europeans who come to South Africa and they do not know what African football is about , what Champions League is about.
 
Moja ya vigezo vya kocha anayetakiwa: (1)awe anajua kutumia tunguri kwenye soka, au angalau (2)awe tayari kuruhusu paka atumike kama 'game changer' pale yeye kocha anapofeli.

Hii ndio maana ya kulijua African soccer analozungumzia Pitso.
 
Utopolo hawajastukia kwamba hakuna mwenye interest nao nje ya nchi hii?ingekuwa kocha msaidizi Wa simba kaomba ondoka kama mwambusi mitandaoni kungewaka moto hadi Nigeria wangejua
Hata Wachambuzi Wa Soka Uchwara wako kimiaaaaaa utadhani hakuna jambo linaendelea. Mwambusi huyoooo
 
Moja ya vigezo vya kocha anayetakiwa: (1)awe anajua kutumia tunguri kwenye soka, au angalau (2)awe tayari kuruhusu paka atumike kama 'game changer' pale yeye kocha anapofeli.

Hii ndio maana ya kulijua African soccer analozungumzia Pitso.
Uko serious kabisa?au unatania??
 
Utopolo hawajastukia kwamba hakuna mwenye interest nao nje ya nchi hii?ingekuwa kocha msaidizi Wa simba kaomba ondoka kama mwambusi mitandaoni kungewaka moto hadi Nigeria wangejua
Kwahiyo, wakijua Nigeria utasaidiwa mini.
 
Pitso anakuambia makocha kama Eric Tinkler ni wakati sahihi wa kuomba kufundisha teams za nje ya south africa kama Simba huku akiitaja kama team kubwa ambayo ni kawaida yake kuwa kwenye group stages.

“I mean we are in the same group as Simba (in the CAF Champions League) I will be so disappointed to hear that none of the South African coaches applied or tried to coach Simba, a team that is always in the group stages with the likes of Al Ahly. We can’t settle only for what we have at home, we have the quality to do that people like Cavin Johnson are here with us. South African coaches can do it.

Mosimane made reference to former Orlando Pirates head coach Eric Tinkler, who according to Mosimane, has the ability and qualifications to coach big teams like Tanzanian giants Simba SC.

“I mean people like Eric Tinkler, they are out of a job now, you can’t be doing the same thing all the time like a hamster in a wheel. I think he has the CV to coach Simba. I’m not saying that he should go there but I mentioned his name. he’s been to the Champion’s League and Confederation Cup final with Orlando Pirates. He’s got the experience and a bigger CV than the Europeans who come to South Africa and they do not know what African football is about , what Champions League is about.
Hatuwataki wasouth.
Hao mara watakimbilia gsm yanga
 
Moja ya vigezo vya kocha anayetakiwa: (1)awe anajua kutumia tunguri kwenye soka, au angalau (2)awe tayari kuruhusu paka atumike kama 'game changer' pale yeye kocha anapofeli.

Hii ndio maana ya kulijua African soccer analozungumzia Pitso.
Manyani mtateseka sana.....Simba ni level nyingine...

Pambana na toto Africa, singida. Lipuli hizo ndo level zenu
 
Pitso anakuambia makocha kama Eric Tinkler ni wakati sahihi wa kuomba kufundisha teams za nje ya south africa kama Simba huku akiitaja kama team kubwa ambayo ni kawaida yake kuwa kwenye group stages.

“I mean we are in the same group as Simba (in the CAF Champions League) I will be so disappointed to hear that none of the South African coaches applied or tried to coach Simba, a team that is always in the group stages with the likes of Al Ahly. We can’t settle only for what we have at home, we have the quality to do that people like Cavin Johnson are here with us. South African coaches can do it.

Mosimane made reference to former Orlando Pirates head coach Eric Tinkler, who according to Mosimane, has the ability and qualifications to coach big teams like Tanzanian giants Simba SC.

“I mean people like Eric Tinkler, they are out of a job now, you can’t be doing the same thing all the time like a hamster in a wheel. I think he has the CV to coach Simba. I’m not saying that he should go there but I mentioned his name. he’s been to the Champion’s League and Confederation Cup final with Orlando Pirates. He’s got the experience and a bigger CV than the Europeans who come to South Africa and they do not know what African football is about , what Champions League is about.
Tinkler mshahara wake ni dola za kimarekani laki moja,simba wataweza?
 
Back
Top Bottom