Pitso Mosimane aisifia Simba akihimiza makocha wa South Africa waombe kuifundisha

Moja ya vigezo vya kocha anayetakiwa: (1)awe anajua kutumia tunguri kwenye soka, au angalau (2)awe tayari kuruhusu paka atumike kama 'game changer' pale yeye kocha anapofeli.

Hii ndio maana ya kulijua African soccer analozungumzia Pitso.
Utopolo haachi kuchomekea yake!! Sawa Bwana!
 
Moja ya vigezo vya kocha anayetakiwa: (1)awe anajua kutumia tunguri kwenye soka, au angalau (2)awe tayari kuruhusu paka atumike kama 'game changer' pale yeye kocha anapofeli.

Hii ndio maana ya kulijua African soccer analozungumzia Pitso.
Ingekua mpira ni kutumia paka na tunguli tu huko Sumbawanga wangekua na team kubwa kuliko simba na yanga
 
Back
Top Bottom