Mungu yupo kazini, mnafikili hotuba ya mzee wetu, ilikua haina baraka za wazee? Wajinga wachache wanatualibia Taifa, haitawezekana.Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Pius Msekwa amesema hafurahii ushindi wa 99% wa CCM katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika kwani kuna mapungufu mengi. Pia amesema mtu mwenye akili timamu hawezi kufurahia ushindi huo.
Spika mstaafu ameyasema hayo leo alipohojiwa na Sauti ya Kiswahili ya Ujerumani. Spika amevitaka vyombo vya uchaguzi kuondokana na kasoro ikiwa ni pamoja na matumizi ya nguvu na kuwaengua wapinzani ambapo amesema hilo halikuwahi kutokea hapo zamani kwanini linatokea sana siku hizi? Amehoji Spika Mstaafu.
Kipindi cha hawa wazee, CCM ilikuwa kwaajili ya maendeleo ya watanzania, lakini CCM ya sasa ni CCM ya mashetani, ambayo ipo kwaajili ya kuwaangamiza Watanzania.HAO NDYO WAZEE WA CCM HALISI WENYE KUIPENDA NCHI YAO NA WANA HOFU YA MUNGU
Mtanikumbuka πRIP Magufuli ila umetuachia matatizo makubwa
Pia amesema mtu mwenye akili timamu hawezi kufurahia ushindi huo.πππSpika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Pius Msekwa amesema hafurahii ushindi wa 99% wa CCM katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika kwani kuna mapungufu mengi. Pia amesema mtu mwenye akili timamu hawezi kufurahia ushindi huo.
Spika mstaafu ameyasema hayo leo alipohojiwa na Sauti ya Kiswahili ya Ujerumani. Spika amevitaka vyombo vya uchaguzi kuondokana na kasoro ikiwa ni pamoja na matumizi ya nguvu na kuwaengua wapinzani ambapo amesema hilo halikuwahi kutokea hapo zamani kwanini linatokea sana siku hizi? Amehoji Spika Mstaafu.
Gentleman π SEMA neno gentleman unalipi lakutueleza.kaa kwa kutulia Dr slaa naona umeanza mawenge yako tena π
Chama dola, ni waoga kama si waoga kwanini wanaogopa tume huru , kimetengeneza jamii ya kanyaga twende yaani jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi, (jamii ambayo imeandaliwa kusafishwa ubongo).Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Pius Msekwa amesema hafurahii ushindi wa 99% wa CCM katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika kwani kuna mapungufu mengi. Pia amesema mtu mwenye akili timamu hawezi kufurahia ushindi huo.