Mtemi Mbojo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 891
- 1,569
CCM hasa hao walio kwenye USUKANI, ni kama wamepagawa..UTU na HAYA zimewatoka kabisa...MAMBO YA AJABU kabisa tunayayashuhudia miaka hii ya 2016- 2024Kaongea point,hawa CCM sijui wanajiona ni nani
Hebu rudi kwenye mada..Hawa wazee ndo waasisi wa mambo yote ya hovyo serikalini. Nawaashangaa sana wanalaumu upuuzi. Warioba ni nguli wa sheria lakini hakumshauri Mwalimu wakati anataifisha mali za watu enzi hizo.. hadi leo kuna watu wanalipwa fidia. Huyu Msekwa akiwa spika ndo mikataba inayoumiza taifa hadi leo ilisainiwa. Hawa wangekaa tu kimya maana sio wasafi. Wanalazimisha kuvunjiwa heshima.
Nitolee ujinga hapaHebu rudi kwenye mada..
Kwani hao Wazee hawakumbuki Mwalimu Nyerere alisema nini kuhusu hii Katiba ??!CCM hasa hao walio kwenye USUKANI, ni kama wamepagawa..UTU na HAYA zimewatoka kabisa...MAMBO YA AJABU kabisa tunayayashuhudia miaka hii ya 2016- 2024
Na hivi kazi ya Msajili wa Siasa huwa ni NINI?..haya maupuuzi hayamgusi?..dah
Sawa wapo kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu ya Tanzania lakini kwenye madaraka yao kuna jinai ya wazi wazi ambayo wanaifanya kinyume na katiba iliyowaweka madarakani.Mfano Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi Samiah Suluhu aliwahi kusema ni vijikaratasi tu,unategemea huyo mtu ailinde Katiba?Pili baada ya Magufuri kupora uchaguzi 2020 akaona aibu kwa aliyoyafanya na kuona kwamba atakosa misaada kutoka kwa wafadhili mbalimbali.Kwa vile wazungu wanapenda nchi zetu zitawaliwe na wanawake akaamua kuwaingiza wabunge 19 wa Chadema kwa kisingizio kuwa CHADEMA inastahili na wanawake wengine wakatolewa gerezani usiku na kwenda kuapishwa na Spika usiku huo huo.Je Katiba ilitekelezwa vema?Wote hao hakuna yeyote aliyevunja Katiba !
Kila jambo hupandwa pumbavu.Unafikiri ungekuwa Mtanzania bila Nyerere,Mwinyi,Mkapa,Kikwete,Magufuri,Samiah?Aliyepanda chema kama Nyerere,Mwinyi,Mkapa na Kikwete atakumbukwa kama Yesu na Mohamed na aliyepanda kibaya kama Magufuri na sasa Mama Samiah anakiendeleza atalaumiwa milele kama shetani anavyolaumiwa.Magufuli yupo , anakusikia. Magufuli hayupo tulikuwa na Nyerere hayupo, Mwinyi hayupo, Mkapa hayupo kazi ya kiongozi yeyote ni kuendeleza mazuri aliyoyakuta na kuacha mabaya Sasa kwanini tihangaike na Magufuli