residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Huko Tanzania kama CCM na serikali ingekuwa na watu kama F. Mbowe, J.J.Mnyika na T.A.M.Lissu, hakika Watanzania wote mngekuwa na furaha.Ila huyu anastahili kuitwa MWAMBA View attachment 1636581
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kuwa mchaga ni dhambi!?Wewe ni mchagga? ni kuvunja
Huwezi kuwa na elimu isiyo na shaka na ukawa CCM ya sasa.Yule Kitila Mkumbo taaluma yake imeingia nzi, ukishakuwa ccm ata uwe na elimu gani ukweli kwako inakuwa ni mwiko
Unaona aibu kujulikana kabila lako! Basi poleKuwa mchaga ni dhambi!?
Ni mpumbavu pekee anayeweza kuuliza kabila la mtu kutokana na "matamshi ya kimaandishi".
Aibu aone mchaga kwa kuwa mchaga!?Unaona aibu kujulikana kabila lako! Basi pole
Umri wako ulitosha kujua kwamba baada ya Zitto kufukuzwa CHADEMA, alikimbilia mahakamani akamalizia muda wake wa ubunge kwa kulindwa na sheria ya "jambo liko mahakamani" Inawezekana kipindi hicho hukuwa active sana kwenye politics.Miaka 45
Soma hii hapa .....Aibu aone mchaga kwa kuwa mchaga!?
Wewe mgogo utaona nini sasa!!?
Umri wako ulitosha kujua kwamba baada ya Zitto kufukuzwa CHADEMA, alikimbilia mahakamani akamalizia muda wake wa ubunge kwa kulindwa na sheria ya "jambo liko mahakamani" Inawezekana kipindi hicho hukuwa active sana kwenye politics.
Yote hayo ni makapi ya CHADEMAmkuu mtu mwenye akili timamu hawezi kumsikiliza Kitila. kwa common sense tu yule sio chanzo cha media kupata ufafanuzi
Hatuna mahakama tena this timeTatizo la watanzania ni hili, tunafikiri kila sisi tunachokijua kila mmoja anatakiwa kukijua.
Unapotoa comment mtu akakuuliza bila kejeli wala ubishani, nilitegemea ungeweza kujibu moja kwa moja kwa kunieleza hayo bila kuanza kuniuliza umri.
Unadhani kwa umri wako unajua vyote ambayo wenziyo wa umri huo wanajua?
NB: Zitto hakumaliza muda wa Bunge akiwa Mbunge, shauri lake lilitupiliwa mbali na Mahakama, na alikuwa na nafasi ya kukata rufaa lakini hakufanya hivyo.
Zitto alikoma kuwa Mbunge na kujikita kwenye harakati za chama chake, nadhani ile ruling ilikuwa ya March 2015.
Je, na mimi nikuulize umri kwa kutojua hili?