Pius Msekwa: Kwa mujibu wa Katiba, mpaka sasa Halima Mdee na wenzake hawana sifa za kuwa Wabunge

Pius Msekwa: Kwa mujibu wa Katiba, mpaka sasa Halima Mdee na wenzake hawana sifa za kuwa Wabunge

Yule Kitila Mkumbo taaluma yake imeingia nzi, ukishakuwa ccm ata uwe na elimu gani ukweli kwako inakuwa ni mwiko
Huwezi kuwa na elimu isiyo na shaka na ukawa CCM ya sasa.
Huwezi kuwa umeelimika na ukawa CCM ya sasa.
Huwezi kuwa na akili timamu, utu wema na ubinadamu halafu ukawa mshabiki wa CCM ya sasa.
 
Ndani ya job Hakuna linaloshindikana.
Dona kantri inahitaji kuwaformated system collapse
 
Umri wako ulitosha kujua kwamba baada ya Zitto kufukuzwa CHADEMA, alikimbilia mahakamani akamalizia muda wake wa ubunge kwa kulindwa na sheria ya "jambo liko mahakamani" Inawezekana kipindi hicho hukuwa active sana kwenye politics.
 
Aibu aone mchaga kwa kuwa mchaga!?
Wewe mgogo utaona nini sasa!!?
Soma hii hapa .....
Tazama leo wachagga jamii ilikuwa imara sana ila kwasasa inazidi kudumaa na ndio wanaongoza kwa kuwa na vijana marioo, wanaume wa wasukuma na wamasai kidogo bado wanapambana kushika nafasi yao. Na ndio unaona ndio wanashika nafasi kubwa akina laizer, na baadhi ya viongozi.

Imetoka : Wanaume njooni tuongee
 
Umri wako ulitosha kujua kwamba baada ya Zitto kufukuzwa CHADEMA, alikimbilia mahakamani akamalizia muda wake wa ubunge kwa kulindwa na sheria ya "jambo liko mahakamani" Inawezekana kipindi hicho hukuwa active sana kwenye politics.

Tatizo la watanzania ni hili, tunafikiri kila sisi tunachokijua kila mmoja anatakiwa kukijua.

Unapotoa comment mtu akakuuliza bila kejeli wala ubishani, nilitegemea ungeweza kujibu moja kwa moja kwa kunieleza hayo bila kuanza kuniuliza umri.

Unadhani kwa umri wako unajua vyote ambayo wenziyo wa umri huo wanajua?

NB: Zitto hakumaliza muda wa Bunge akiwa Mbunge, shauri lake lilitupiliwa mbali na Mahakama, na alikuwa na nafasi ya kukata rufaa lakini hakufanya hivyo.

Zitto alikoma kuwa Mbunge na kujikita kwenye harakati za chama chake, nadhani ile ruling ilikuwa ya March 2015.

Je, na mimi nikuulize umri kwa kutojua hili?
 
Hatuna mahakama tena this time
 
Tanzania ni nchi yetu....yanayofanywa ni viongozi wetu hata MBU wameyakataa asilani......kitu cha kuangalia ni yatakayotupata wananchi wa kawaida.....uwe ccm, cdm, act au cuf......na vingine vyote......hayatapimika.....kila mmoja wetu afanye kazi kwa bidii na bila kuvunja sheria, kuhakikisha familia zetu zinakuwa na afya na elimu bora.........kuna upuuzi unakera mno.......hivi PINOCHET aliishia wapi......????
 
Back
Top Bottom