osward mambo
Senior Member
- Jul 31, 2020
- 148
- 55
Good for nothingmkuu mtu mwenye akili timamu hawezi kumsikiliza Kitila. kwa common sense tu yule sio chanzo cha media kupata ufafanuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good for nothingmkuu mtu mwenye akili timamu hawezi kumsikiliza Kitila. kwa common sense tu yule sio chanzo cha media kupata ufafanuzi
Dah huyo jamaa hajafanya vizuri. Unajua GT comments zinanoga ukisoma na avatar ya mtu uliyemzoea. Yani nondo unzazoshushaMkuu kuna mtu mwingine anaitumia ndiyo maana nikaibadilisha
Mimi nilishangaa sana Azam kumhoji Kitila Mkumbo wakati hakuwa Neutral party.mkuu mtu mwenye akili timamu hawezi kumsikiliza Kitila. kwa common sense tu yule sio chanzo cha media kupata ufafanuzi
Ha ha ha haaNchi inaendeshwa km group la wasap... mambo ya kisengerema kabisa aya.
[emoji23][emoji23][emoji23],admin akijisikia anakuleftisha,halafu Siku akiamka vizuri anakurudisha tena, inategemea tu ameamkajeNchi inaendeshwa km group la wasap... mambo ya kisengerema kabisa aya.
Aisee afadhali umemuondoa yule msaliti kwenye avatar yako[emoji106]Ila huyu anastahili kuitwa MWAMBA View attachment 1636581
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Avatar zinatambulisha watu, ila utaizoea tu mkuuDah huyo jamaa hajafanya vizuri. Unajua GT comments zinanoga ukisoma na avatar ya mtu uliyemzoea. Yani nondo unzazoshusha
Hiyo ni literally na Msekwa asijifanye kwamba hafahamu hii nchi haifuati sheria.Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa Halima Mdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa wabunge
Kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao.
====
Mambo yameanza kuwa sio mambo.
Lakini sio kauli yake kama Msekwa in kwa mujibu wa katiba ambayo waheshimiwa wameapa kuilinda kuitunza kuitetea nk.Baadae atapigwa bati utasikia nilinukuliwa vibaya sikumaanisha hivyo [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
lengo la ccm kuwapigania hawa (waliokuwa) wanachama wa chadena siyo kwamba ccm inawapenda sana ila ccm wanafanya hivyo kwa lengo lao mahususi la kuhalalisha haram na hivyo kukubalika kwa jamii ya kitaifa na kimataifa. hivyo basi hata kama ccm ikifanikiwa kuwalinda (waliokuwa) wanachadema hawa bado lengo mahususi la ccm halitatimia na zaidi sana watazidi kuhalalisha kuwa nchi hii ni ya kidikteta unaochagizwa kupitia vyombo rasmi vya kidola ikiwemo mahakama, bunge na serikali yenyewe kiujumla.Kumfuta Uanachama Mtu ni mchakato wa Kisheria & Kikanuni pia
Mchakato huo ili ukamilike haushii kwenye Kamati Kuu ya Chama husika pekee bali unaenda hadi ngazi ya Mahakama ya Rufaa!
Hivyo Mdee na wenzake 18 bado ni kiuhalisia Wabunge hadi itakapoamuliwa vinginevyo
na mamlaka husika kupitia mchakato huo!
Mzee wetu amekuwa na haraka mno kutoa hitimisho kana kwamba mchakato ulipoishia Ilikuwa Halali Kisheria na kuwa suala hilo limehitimishwa!
Katiba ipo mahsusi kulinda haki za wote na sio maamuzi ya Uongozi Wa Chama pekeyake!
Tusubiri mchakato ukamilike Kabla ya kutoa hitimisho
Mkuu hata mahakama ya mwanzo inapotoa hukumu mtu anakuwa tayari ameshahukumiwa na hata gerezani hupelekwaKumfuta Uanachama Mtu ni mchakato wa Kisheria & Kikanuni pia
Mchakato huo ili ukamilike haushii kwenye Kamati Kuu ya Chama husika pekee bali unaenda hadi ngazi ya Mahakama ya Rufaa!
Hivyo Mdee na wenzake 18 bado ni kiuhalisia Wabunge hadi itakapoamuliwa vinginevyo
na mamlaka husika kupitia mchakato huo!
Mzee wetu amekuwa na haraka mno kutoa hitimisho kana kwamba mchakato ulipoishia Ilikuwa Halali Kisheria na kuwa suala hilo limehitimishwa!
Katiba ipo mahsusi kulinda haki za wote na sio maamuzi ya Uongozi Wa Chama pekeyake!
Tusubiri mchakato ukamilike Kabla ya kutoa hitimisho
Wana chakupoteza ndiyo maana drama haziishi-Trilion 2 zipo at stake na hawana utayari kuzipoteza.Vp kama CCM wakiwatosa hao COVID-19 na kutafuta njia mbadala, CDM inabidi iwe makini mana hapo CCM watakuwa hawana cha kupoteza lakini CDM itakuwa imepoteza wanachama wake walio kengeuka na kuwa COVID-19
Hapana hawezi fanya hivyo kwani kanukuu Katiba ya Nchi. Ndugai anatia aibu kwa kukiuka Katiba na Kanuni za Bunge wazi wazi kwakuwa hakuna wa kumuuliza wala kumkemea. Bali yuko anayefurahishwa na upuuzi wa Ndugai.Baadae atapigwa bati utasikia nilinukuliwa vibaya sikumaanisha hivyo [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
@Pascal Mayalla umemsikia Mh Pius Msekwa