CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Katika Orodha hio sijataja traditional fruits kama Ovacado na Mangoes kwa sababu hayo yanapatikana kwa wingi sana na hatu import kutoka nje ya nchi.
Hayo nilio yataja tuna import kwa kaisi kikubwa sana na tunalima kwa kiwango kidogo sana au hatulimi kabisa.
Nchi kwa sasa inakimbilia kwenye middle class kwa kasi na pia kuna muingiliano wa watu yaani foreigners ni wengi sana Tanzania kuliko wakati mwingine ule.
1.Pixie Oranges hizi ni chungwa tuna import kutoka South Africa kwa wingi sana, hivyo ni moja ya matunda ya baadae au ya kuwekeza. Pixie Oranges huwezi linganisha na zile chungwa zetu za muheza Tanga.
2.Kiwi, hili tunda lina demand kubwa sana hasa miongoni mwa foreigners ingawa ni complicated sana kulima kiwi, ni tunda gumu sana kulima kulinganisha na matunda mengine, ila pia Kiwi ina life span kubwa sana.
3.Blueberries.
Blueberries ni moja ya matunda ghari sana na pendwa sana na wageni na wale watu wa mbele, Blueberries pia tuna import ingawa pia tunalima kwa kiasi fulani hasa huku kaskazini hasa Kilimanjaro. Blueberries ni matunda ghari sana na ambauo yana feature ya kueleweka sana.
4.Lemons
Limao zina demand ya juu sana na bahati mbaya Tanzania sana watu wana miti michache michache, ila limao zina demand hapa kuna pia aina za limao na sana tuna import seedless lemons, kuna wakati tunatoa Uganda. Limao bado tuna bustani zake hatuna mashamba makubwa ya limao. Kwenye limao kuna varieties nyingi sana zenye soko.
5.Lime
Lime pia kama ilivyo limao ni tunda lenye demand kubwa sana na ambalo pia sisi tunalima kwa kiwango kidogo sana, tuna bustani hatuna mashamba makubwa ya lime kama ilivyo lemons.
NB: Kuna varieties nyingi sema hizo atlest ndio common kiasi ingawa varieties za matunda ni nyingi sana.
- Aina sa zabibu, kuna zabibu aina nyingi sana na hata zinazo uzwa mashop makubwa ni imported kutoka nje kama asia Egypt na lebonon huko.
Varieties zote hizo ni za muda mrefu kuanzia miaka 20 na kuendelea yaani life span zake.