CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Pixie Orange ni yale machungwa tunayaona kwa Super Market yakitokea either Egypt au South Africa au Zimbabwe. Hizo nchi tatu ndio wazalishaji wakubwa wa Pixie Orange Africa.
Yale machungwa ya Muheza ukweli usemwe sio machungwa ya kibiashara yaani Comercial breed, yale ni ya kulishana sisi Kibongobongo ndio maana Suoer Marjet kubwa huwezi yakuta kabisa.
Machungwa ya muheza ni limao zilio enda International School. Pixie Orange.
Haya ni machungwa Seedless na very Orange na yana sukari nyingi sana ambayi ni cross ya Tangarine aina ya chenza na chungwa.
Pixie yana uzaaji mkubwa sana na na pia ni machungwa ya juice.
Kwa wanao venture kwenye Machungwa hizi Pixie ndio machubgwa ya kulima now kwa ajili ya baadae sasa.
Unaweza andaa miche yako mwenyewe kama unataka kuotesha lager scale.
Ukiweka Pixie Orange sokoni na yale ya muheza, itabisi pixie ziishe kwanza kabisa ndio raia sasa waanze kununua zile limao.
Machungwa yanafanya vyema kwenye maeneo yenye mvua ya wastani sana na jua la muda mrefu.
Udongo wenye rutuba yaani deep, fertile na well-drained soil ni muhimu sana sasa angalia eneo lako udongo una rutuba? Kama una rutuba jiulize tena hali ya hewa ikoje? make eneo lako linaweza kuwa na rutuba ila likawa na baridi ya hatari sana.
PH ya Udongo Ina range kuanzia 6.5 – 7.3.
Mvua ya kiwango cha wastani sana maeneo ya arid and semi-arid yanafaa sana,Pia Irrigation inaweza tumika.
Ukanda mwingi wa Pwani unabakia kuwa ukanda Bora wa kilimo cha machungwa kibiasnara, hasa maeneo ya Tanga na Handeni yote hio na Muheza. Baadhi ya maeneo ya Kilimanjaro pia kama Same, Mwanga na baadhi ya maeneo ya Rombo.
Pia Morogoro inafaa sana, Lindi na Mtawara.
Kama ni Kibiashara basi tafuta shamba maeneo hayo kwa ajili ya machungwa.
Pia maeneo ya Kigoma kama Kibondo au Kasulu kunafaa sana kulima machungwa kibiashara.
Hayo ni maeneo nilio fika sana kwingine sihawahi fika sana so sijui kukoje.
NB: Toa kabisa maeneo ya baridi kwenye kilimo cha machungwa.