Nimeipata Efm huku Mvomero, Moro many thanks mkuu.Bonyeza kitufe cha rimoti ya king'amuzi kilichoandikwa TV/radio ,dikoda zilizo nyingi unapata radio stesheni nyingi tu halafu unachagua unataka kusikiliza radio gani.
Hicho kitufe kwenye rimoti ya king'amuzi kipo juu kulia.
Nadhan, Hata wao watapata tabu pia ..!! Wote wanategemeana ..!!Clouds watapata tatizo sana siku B dozen na Mchomvu wakiondoka
Weee.... hacha porojo huyu Pj na Ando wamemkuta Adela akiendesha kipindi, mwenzake SEBO sijui yuko wapi.Adela haendani na kina PJ na Hando huo ndio ukweli...na mamizik ya nini? Weka contents watu waongee...recorded clips za kaz gani why msiwahoji live wahusika...Gerald yupo tuu bado hajatumika ata robo jamani...Kama VP Gerald ongoza kipindi na PJ bac!!!!
Mungu ni mwema alishampumzisha huyu ndugu yetu muda sasa,alikuwa hazina ya Watngazaji wa Kiingereza hapa nchini pia katika kukuza muziki wa Hiphop Asilia.....R.I.P JML Mzee wa Kativiiiiiiikuna mtangazaji mmoja hivi wa kiss fm anaitwa JOACHM MWENGARUGULU (JML) yuko wap siku hizi?
Hakuna mtu niliyekuwa namwelewa pale cloudsfm kama Nchakali ...Reuben ndege mzee wa soso fresh...nowadays Millard ayo pale ndo anatumia nguvu nyingi na ubunifu wa kutosha...ili kaz zake zikae sawaMungu ni mwema alishampumzisha huyu ndugu yetu muda sasa,alikuwa hazina ya Watngazaji wa Kiingereza hapa nchini pia katika kukuza muziki wa Hiphop Asilia.....R.I.P JML Mzee wa Kativiiiiiii
Weee.... hacha porojo huyu Pj na Ando wamemkuta Adela akiendesha kipindi, mwenzake SEBO sijui yuko wapi.
Kw maana hiyo PJ na ANDO watulie waache Adela awacontrol.
Ok, nilidhani wamemtupa, kijana yule ni mbunifu.SEBO karudi administration.. Ni maneja pale...
Abel alikua liability toka zamani...Abel onesmo yupo efm..
Nahisi kuna kutofautiana kizazi au wengi wameanza kusikiliza power breakfast miaka ya kuanzia 2010,power breakfast kilikua kizuri wakati wa KP na Fina huku Hando akisoma magazeti,kipind kilianza kuharibika walipoondoka Fina na Masoud na baada ya hando na wenzie kuanza kuendesha kipind kama cha kwao na sio wasikilizajiWatu wengi humu labda bado umri wenu mdogo sana. Kipanya wengi hamumjui vyema ....Power breakfast ilikuwa inaongoza kabla ya PJ kujiunga clouds ....sidhani kama watapata upinzani mkubwa sana kama mnavyotarajia ....muda utaongea ...Power breakfast itabaki on top ....Clouds itayumba akiondoka Ruge ....yule ndio kizizi pale ...
Joachim alifariki lini mkuu?dah siamini,jamaa alikuwa smart sana akiongoza kipindi nakumbuka ilikuwa kila siku saa8 hadi10 radio Kiss Fm.alipotea ghafla sikumsikia tena.Mungu ni mwema alishampumzisha huyu ndugu yetu muda sasa,alikuwa hazina ya Watngazaji wa Kiingereza hapa nchini pia katika kukuza muziki wa Hiphop Asilia.....R.I.P JML Mzee wa Kativiiiiiii
Adela hafai kuwa pale. Angewaacha tu kina Gerald yeye awe anawatengenezea kahawaEfm naomba mumpe Gerald muda mwingi WA kuongea hasa interviews nk...buni kitu kama ile ya bonge itakua poa sana...Adela aache kiherehere cha kukontroo kipindi Gerald sio MTU WA kufunikwafunikwa jamaa ni madini wanayachezea...PJ safi sana mda wa magazet unatosha kabisa ila bac mdadavue sio kusoma tu
Adela hafai kuwa pale. Angewaacha tu kina Gerald yeye awe anawatengenezea kahawa
Abel alikua liability toka zamani...
Ah ah ah!huyo wa east Africa drive,Irene namkubali sana,anafanya kipindi kichangamke wakiwa na kingu na dialloTatizo la kina dada wengi watangazaji wakipangwa vipindi na wakaka , wanapenda kuongea sana .... Yani kipindi kizima utawasikia wao tu.....halafu wanakua wabishi wabishi hata kwa vitu visivyo na maana... Mwingine muongeaji ni yule wa East Africa drive.... Ebu wajipange ili tuwaelewe
Ah ah ah!huyo wa east Africa drive,Irene namkubali sana,anafanya kipindi kichangamke wakiwa na kingu na dialloTatizo la kina dada wengi watangazaji wakipangwa vipindi na wakaka , wanapenda kuongea sana .... Yani kipindi kizima utawasikia wao tu.....halafu wanakua wabishi wabishi hata kwa vitu visivyo na maana... Mwingine muongeaji ni yule wa East Africa drive.... Ebu wajipange ili tuwaelewe