Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
Huyu mwenye hii Efm sijui ana njaa mbona haileti hiyo redio huku kwenye majiji mengine
UPO KIJIJI GANI MKUU TUILETE??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mwenye hii Efm sijui ana njaa mbona haileti hiyo redio huku kwenye majiji mengine
Clouds itabaki kuwa clouds, efm nayo itabaki kuwa efm
Kwani wanashindana? Kuna ligi?
na fina ndio anamuwezea masoud walikuwa na chemistry nzuri sana....huyu babra anaviubishi visivyo na kichwa wala mguu anambana sana masoudNahis kuna kutofautiana kizazi au wengi wameanza kusikiliza pb miaka ya kuanzia 2010,pb kilikua kizuri wakati wa KP na Fina huku Hando akisoma magazeti,kipind kilianza kuharibika walipoondoka Fina na Masoud na baada ya hando na wenzie kuanza kuendesha kipind kama cha kwao na sio wasikilizaj
Ah ah ah!huyo wa east Africa drive,Irene namkubali sana,anafanya kipindi kichangamke wakiwa na kingu na diallo
Mi sijui hapo kiongozi utakuwa unapenda kipindi cha aina gani labda vile vya kuanzia saa nne usiku
Ah ah ah!huyo wa east Africa drive,Irene namkubali sana,anafanya kipindi kichangamke wakiwa na kingu na diallo
Mi sijui hapo kiongozi utakuwa unapenda kipindi cha aina gani labda vile vya kuanzia saa nne usiku
Duh!Unamkubali wewe sasa... Mimi hata simuelewagi... Anaoongeeeea...ni mjuaji sana... Apunguze ki herehere.
jf kuna vitukoJamal, ndio rais wa TFF kwa sasa!
siyo jamal mkuu.anaitwa JOACHM MWENGARUGULU(JML) alikuwa anatema ngeli sana huyu jamaa
na fina ndio anamuwezea masoud walikuwa na chemistry nzuri sana....huyu babra anaviubishi visivyo na kichwa wala mguu anambana sana masoud
Kama ilivyo clouds wanavyosafiria nyota ya east Africa radio, mastaa wote wametokea ea radioE-fm ina safiria nyota ya Clouds.
Labda kama huwajui mastaa wa Clouds.Kama ilivyo clouds wanavyosafiria nyota ya east Africa radio, mastaa wote wametokea ea radio
Kama ilivyo clouds wanavyosafiria nyota ya east Africa radio, mastaa wote wametokea ea radio
na fina ndio anamuwezea masoud walikuwa na chemistry nzuri sana....huyu babra anaviubishi visivyo na kichwa wala mguu anambana sana masoud
Haya mtt wa mjin unaewajua mastaaLabda kama huwajui mastaa wa Clouds.
E.FM inapatikana kwenye stesheni gani jamani?
Bonyeza OK then kitufe cha kuongeza sauti ...zitakuja Chanel za tv tena bonyeza hicho hicho kitufe utapata redio.Hebu elekeza mkuu jinsi ya kuipata through AZAM decoder...
Walishahama tangu mwezi wa nne mwanzoniJamani mm bado niko gizani hivi nikweli PJ na Gerald Hando wamehama Clouds? Mbona juzi niliwasikia wakitangaza clouds?
Safi sananitakuwa nawafuatilia sasa maana niliacha kuwafuatilia japo nawakubali sana hao jamaa sema redio waliiyokuwa wanatangaza zamani siipendi sana kwakuwa wanajikomba sana kwa chama tawala hata wkt wa Jk mpaka wakamuandalia shereheWalishahama tangu mwezi wa nne mwanzoni
Sikiliza E-FM Joto la asubuhi kuanzia kesho wapi wamejaa teleSafi sananitakuwa nawafuatilia sasa maana niliacha kuwafuatilia japo nawakubali sana hao jamaa sema redio waliiyokuwa wanatangaza zamani siipendi sana kwakuwa wanajikomba sana kwa chama tawala hata wkt wa Jk mpaka wakamuandalia sherehe