PJ na Hando wameanza vizuri E-Fm

PJ na Hando wameanza vizuri E-Fm

hivi hiyo e.fm imetengenezewa hapo dar tu si mlete na huku mikoani, kwa kweli namkubali sana PJ ana utani flani hautachoka kumsikiliza hasa wakiwa na huyo hando.


Jamaa wapo vizuri wana kamua kinoma.

Wana mtu anaitwa chogo huyo anapiga fimbo za kwapa hahaha.

Alafu kuna kipande yeye anaingia kwenye ususu hahahah.

Dah yani bonge la combination efm wameramba dume ratings tcra haziongopi.
 
Back
Top Bottom