PJ na Hando wameanza vizuri E-Fm

na fina ndio anamuwezea masoud walikuwa na chemistry nzuri sana....huyu babra anaviubishi visivyo na kichwa wala mguu anambana sana masoud
 
Unamkubali wewe sasa... Mimi hata simuelewagi... Anaoongeeeea...ni mjuaji sana... Apunguze ki herehere.
 
na fina ndio anamuwezea masoud walikuwa na chemistry nzuri sana....huyu babra anaviubishi visivyo na kichwa wala mguu anambana sana masoud

Zama za Masudi zimeisha, PJ na HANDO sasa ndio wapo kwenye trend nzuri kipindi cha asubuhi....
 
na fina ndio anamuwezea masoud walikuwa na chemistry nzuri sana....huyu babra anaviubishi visivyo na kichwa wala mguu anambana sana masoud

Ana ubabe wa kifala,kazi kumshushua Fred Fidelis
 
hivi hiyo e.fm imetengenezewa hapo dar tu si mlete na huku mikoani, kwa kweli namkubali sana PJ ana utani flani hautachoka kumsikiliza hasa wakiwa na huyo hando.
 
Hebu elekeza mkuu jinsi ya kuipata through AZAM decoder...
Bonyeza OK then kitufe cha kuongeza sauti ...zitakuja Chanel za tv tena bonyeza hicho hicho kitufe utapata redio.
 
Jamani mm bado niko gizani hivi nikweli PJ na Gerald Hando wamehama Clouds? Mbona juzi niliwasikia wakitangaza clouds?
 
Walishahama tangu mwezi wa nne mwanzoni
 
Walishahama tangu mwezi wa nne mwanzoni
Safi sananitakuwa nawafuatilia sasa maana niliacha kuwafuatilia japo nawakubali sana hao jamaa sema redio waliiyokuwa wanatangaza zamani siipendi sana kwakuwa wanajikomba sana kwa chama tawala hata wkt wa Jk mpaka wakamuandalia sherehe
 
Sikiliza E-FM Joto la asubuhi kuanzia kesho wapi wamejaa tele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…