K kikuluu JF-Expert Member Joined Apr 26, 2016 Posts 202 Reaction score 112 May 8, 2016 #81 Mu-sir said: Sikiliza E-FM Joto la asubuhi kuanzia kesho wapi wamejaa tele Click to expand... Kuanzia saa ngapi mkuu?
Mu-sir said: Sikiliza E-FM Joto la asubuhi kuanzia kesho wapi wamejaa tele Click to expand... Kuanzia saa ngapi mkuu?
Eliamini JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 609 Reaction score 734 May 8, 2016 #82 42_007 said: Kipindi chao kinaanza sangapi Click to expand... joto la asubui kinaanza saa 12 asubui mpk saa 3 asubui, jumatatu mpaka ijumaa
42_007 said: Kipindi chao kinaanza sangapi Click to expand... joto la asubui kinaanza saa 12 asubui mpk saa 3 asubui, jumatatu mpaka ijumaa
K kikuluu JF-Expert Member Joined Apr 26, 2016 Posts 202 Reaction score 112 May 8, 2016 #83 Eliamini said: joto la asubui kinaanza saa 12 asubui mpk saa 3 asubui, jumatatu mpaka ijumaa Click to expand... [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Eliamini said: joto la asubui kinaanza saa 12 asubui mpk saa 3 asubui, jumatatu mpaka ijumaa Click to expand... [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Mu-sir JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 3,621 Reaction score 1,636 May 8, 2016 #84 kikulu said: Kuanzia saa ngapi mkuu? Click to expand... 12 asubuhi mkuu
mr gentleman JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,222 Reaction score 4,689 May 8, 2016 #85 chongchung said: hivi hiyo e.fm imetengenezewa hapo dar tu si mlete na huku mikoani, kwa kweli namkubali sana PJ ana utani flani hautachoka kumsikiliza hasa wakiwa na huyo hando. Click to expand... Jamaa wapo vizuri wana kamua kinoma. Wana mtu anaitwa chogo huyo anapiga fimbo za kwapa hahaha. Alafu kuna kipande yeye anaingia kwenye ususu hahahah. Dah yani bonge la combination efm wameramba dume ratings tcra haziongopi.
chongchung said: hivi hiyo e.fm imetengenezewa hapo dar tu si mlete na huku mikoani, kwa kweli namkubali sana PJ ana utani flani hautachoka kumsikiliza hasa wakiwa na huyo hando. Click to expand... Jamaa wapo vizuri wana kamua kinoma. Wana mtu anaitwa chogo huyo anapiga fimbo za kwapa hahaha. Alafu kuna kipande yeye anaingia kwenye ususu hahahah. Dah yani bonge la combination efm wameramba dume ratings tcra haziongopi.