Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View: https://x.com/clashreport/status/1865743969566498911?t=zv1svIYFkkj7oVQwDvC34A&s=19
Nini hatima ya PKK/YPG huko Syria ?
Nimetoka kuona taarifa kutoka Wion kama 2 hours ag9 kuwa vikosi vya israel vimevuka mpaka na kuingia syria.Miongoni mwa watu walichelewa kuosoma mchezo ni Kurds!
Walipaswa wamsaidie Assad!
Hizbollah imezungukwa, lazima kuwe na mzozo mpakani!
Israeli inaweza kufurahia kwa muda hili, lakini mwisho lazima vurugu itokee!
Sasa watajulikana, ipo siku na hawa wa CCM watalipa matendo yao ya Kinyama wanayowatendea Wananchi.Wasiojulikana waliokuwa wanatumia na Assad
Turkey, USA hiyo collabo,hapo hao wakurdi wanaoipiga vita turkey watafute pa kukimbiliaTuendelee kufuatilia mchezo.
The People's Defense Units (YPG), also called People's Protection Units, is a socialist US-backed Kurdish militant group in Syria and the primary component of the Syrian Democratic Forces (SDF).Wasiojulikana waliokuwa wanatumia na Assad
Tuendelee kuufuatilia mchezo huu wa hii Libya 2.0(Syria).Miongoni mwa watu walichelewa kuosoma mchezo ni Kurds!
Walipaswa wamsaidie Assad!
Hizbollah imezungukwa, lazima kuwe na mzozo mpakani!
Israeli inaweza kufurahia kwa muda hili, lakini mwisho lazima vurugu itokee!
Wakurd wana ndoto za kuanzisha nchi yao! Sasa sijui itakuwaje!Kazi imeanza ila PKK ni wabishi sana tuone namna gani haya makundi yatatafunana
View: https://x.com/clashreport/status/1865743969566498911?t=zv1svIYFkkj7oVQwDvC34A&s=19
Nini hatima ya PKK/YPG huko Syria ?
Hii nchi kwa manufaa makubwa inabidi ipasuliwe! Lakini bado wanaweza wakatwangana hata hayo maeneo waliyogawana.Kipi kipya, Turkey ina vita yake na kurds tokea vita inaanza whether Assad angebaki au angetoka bado makundi yanayosupportiwa na Turkey yangevamia tu.
Pia PKK sio magaidi, mind you silaha walikua wanapewa na USA kupambana na ISIS je USA wanafadhili ugaidi?
View: https://x.com/clashreport/status/1865743969566498911?t=zv1svIYFkkj7oVQwDvC34A&s=19
Nini hatima ya PKK/YPG huko Syria ?