PKK/YPG wameanza kukamatwa huko Syria

PKK/YPG wameanza kukamatwa huko Syria

Dah nimekumbuka mbali sana. Sijui ilikuwa ni utoto au huruma. Nilitakaga kutimkia kuungana na wa Kurdi, enzi zile watu wanajitolea. Mimi naumia sana, kuona watu wanaokandamizwa.
Duh kumbe humu ndan tunaishi na magaid kabisa

Mpaka connection za migambo wa kiislamu unazo duh
 
Umechelewa kujua, halafu tulia huko kabla sijaja kukulipua ulipo. Kama comment haikuhusu, hujaielewa acha kuongeza maneno yako. Hujui lolote nililoandika. Jiangalie.
Duh waislam mna hatari sana aisee

Kwahiyo na wewe ungekuwa unaitwa mgambo wa kiislamu kutoka dhehebu la Sunni kajilipua msikitin na kuua washia 78

Aisee gaid hujambo
 
Hii nchi kwa manufaa makubwa inabidi ipasuliwe! Lakini bado wanaweza wakatwangana hata hayo maeneo waliyogawana.

Wakisema waunde serikali moja bado wanahofia kugeukana kwa sababu kila upande una maslahi yake.

Wakisema wapigane mpaka mshindi apatikane bado hali ni ileile!

Ila ngoja tuone hali itakuwaje! Muda ni mwalimu.
Shida ni watagawana vipi resources kama mafuta na maji? Wakurds watafaidika zaidi.
 
Miongoni mwa watu walichelewa kuosoma mchezo ni Kurds!

Walipaswa wamsaidie Assad!

Hizbollah imezungukwa, lazima kuwe na mzozo mpakani!

Israeli inaweza kufurahia kwa muda hili, lakini mwisho lazima vurugu itokee!

US yenyewe haiko salaam kwenye hili! Syrian itageuka role model wa jihadists na matokeo ya hayo yatawagusa US pia!
milima ya hermon imeshachukuliwa, israel sasaivi anajiandaa kuweka ulinzi mkali ili kutandika sio hezbollah tu bali hata hao waasi wa syria wakileta za kuleta.
 
Kwanini marekani asisapoti magaidi.

America anachoangalia ni maslahi yake tu.
Ndio hoja yangu hiyo kuwa hakuna haja ya kuwaita PKK/YPG magaidi maana ni neno subjective sana. Mfano Taliban kwa sasa wanaitwa magaidi ila kipindi USA inawasapoti Taliban kupambana dhidi ya USSR waliitwa "wakombozi". Kwahiyo unakua gaidi pale tu Marekani akiamua uitwe hivyo.
 
Sio ujuha, unaweza ukawa na Semi Autonomy mfano Iraqi Kurdistan case ni baada ya kuuwawa sana na Dikteta Saddam Hussain.
Iraq hao wakurdi walitumika kupiga ISIS, mwisho wa siku wakageukwa na kuwekwa chini ya serikali ya baghdad
 
Nini kinaendelea Syria ? Mbona wanauana tena wao kwa wao
 
Nini kinaendelea Syria ? Mbona wanauana tena wao kwa
 
Back
Top Bottom