Hii nchi kuna hatari ikawa kama libyaHii nchi kwa manufaa makubwa inabidi ipasuliwe! Lakini bado wanaweza wakatwangana hata hayo maeneo waliyogawana.
Wakisema waunde serikali moja bado wanahofia kugeukana kwa sababu kila upande una maslahi yake.
Wakisema wapigane mpaka mshindi apatikane bado hali ni ileile!
Ila ngoja tuone hali itakuwaje! Muda ni mwalimu.
Waarabu wanasikitisha sana! Ila ngoja tuone, tuupe muda nafasi!Hii nchi kuna hatari ikawa kama libya
Hakuna cha muda wala nini,wanawake hakuna kutoka nje bila waume zao.Waarabu wanasikitisha sana! Ila ngoja tuone, tuupe muda nafasi!
Wakurdi wapo Syria, uturuki na iraq, sidhani kama wataacha kudai nchi yaoNdoto za Wakurdi za kutaka Autonomy wanaweza kuziacha kama watapewa nafasi muhimu kwenye Serikali ijayo.
Kule Iraq wamepewa Autonomy hapa Syria walikuwa wanadai Autonomy lakini Wakurdi wa Turkiya na wale wa Iran sidhani kama watafakiwa?!Wakurdi wapo Syria, uturuki na iraq, sidhani kama wataacha kudai nchi yao
Waasi wameweka USD10miln kwa yoyote atakaye mpata
Wacha wafurai Kwa muda kule ni Libya nyingineHiki kicheko naona kitakuwa cha muda mfupi
Hakikisha umepata kidono au kintinkuHii nchi inaweza kuwa uwanja wa mapambano Kwa muda mrefu sana kama Sudani na Libya.
Ngoja tukatafute hela, hapo ndio fursa na ubilionea unapopatikana sasa.
Kurd ni kete ya baadaye dhidi ya Turkey, siyo sasa. Ila ramani ya taifa lao imeshachorwa pale.Ndoto za Wakurdi za kutaka Autonomy wanaweza kuziacha kama watapewa nafasi muhimu kwenye Serikali ijayo.
Israel imesema itawasaidia Minorities wote wa Middle east.Kurd ni kete ya baadaye dhidi ya Turkey, siyo sasa. Ila ramani ya taifa lao imeshachorwa pale.
Kwasasa wenye mamlaka wanaendelea kupachangamsha kwanza pachangamke kama maharage ndani ya chungu
Nilidhani haka ka packet kangetosha, inabidi niagize magunia kabisa ya Popcorns😀Israel imesema itawasaidia Minorities wote wa Middle east.
Kwanini marekani asisapoti magaidi.Kipi kipya, Turkey ina vita yake na kurds tokea vita inaanza whether Assad angebaki au angetoka bado makundi yanayosupportiwa na Turkey yangevamia tu.
Pia PKK sio magaidi, mind you silaha walikua wanapewa na USA kupambana na ISIS je USA wanafadhili ugaidi?