kiss daniel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 758
- 2,062
Duh kumbe humu ndan tunaishi na magaid kabisaDah nimekumbuka mbali sana. Sijui ilikuwa ni utoto au huruma. Nilitakaga kutimkia kuungana na wa Kurdi, enzi zile watu wanajitolea. Mimi naumia sana, kuona watu wanaokandamizwa.
Umechelewa kujua, halafu tulia huko kabla sijaja kukulipua ulipo. Kama comment haikuhusu, hujaielewa acha kuongeza maneno yako. Hujui lolote nililoandika. Jiangalie.Duh kumbe humu ndan tunaishi na magaid kabisa
Mpaka connection za migambo wa kiislamu unazo duh
Duh waislam mna hatari sana aiseeUmechelewa kujua, halafu tulia huko kabla sijaja kukulipua ulipo. Kama comment haikuhusu, hujaielewa acha kuongeza maneno yako. Hujui lolote nililoandika. Jiangalie.
Shida ni watagawana vipi resources kama mafuta na maji? Wakurds watafaidika zaidi.Hii nchi kwa manufaa makubwa inabidi ipasuliwe! Lakini bado wanaweza wakatwangana hata hayo maeneo waliyogawana.
Wakisema waunde serikali moja bado wanahofia kugeukana kwa sababu kila upande una maslahi yake.
Wakisema wapigane mpaka mshindi apatikane bado hali ni ileile!
Ila ngoja tuone hali itakuwaje! Muda ni mwalimu.
milima ya hermon imeshachukuliwa, israel sasaivi anajiandaa kuweka ulinzi mkali ili kutandika sio hezbollah tu bali hata hao waasi wa syria wakileta za kuleta.Miongoni mwa watu walichelewa kuosoma mchezo ni Kurds!
Walipaswa wamsaidie Assad!
Hizbollah imezungukwa, lazima kuwe na mzozo mpakani!
Israeli inaweza kufurahia kwa muda hili, lakini mwisho lazima vurugu itokee!
US yenyewe haiko salaam kwenye hili! Syrian itageuka role model wa jihadists na matokeo ya hayo yatawagusa US pia!
Autonomy bila sovereign state ni ujuhaKule Iraq wamepewa Autonomy hapa Syria walikuwa wanadai Autonomy lakini Wakurdi wa Turkiya na wale wa Iran sidhani kama watafakiwa?!
Sio ujuha, unaweza ukawa na Semi Autonomy mfano Iraqi Kurdistan case ni baada ya kuuwawa sana na Dikteta Saddam Hussain.Autonomy bila sovereign state ni ujuha
Ndio hoja yangu hiyo kuwa hakuna haja ya kuwaita PKK/YPG magaidi maana ni neno subjective sana. Mfano Taliban kwa sasa wanaitwa magaidi ila kipindi USA inawasapoti Taliban kupambana dhidi ya USSR waliitwa "wakombozi". Kwahiyo unakua gaidi pale tu Marekani akiamua uitwe hivyo.Kwanini marekani asisapoti magaidi.
America anachoangalia ni maslahi yake tu.
Ndio hatua ya kwanza kufikia huko, unajiimarisha kama jimbo alafu ndio unajitenga. Mfano SomalilandAutonomy bila sovereign state ni ujuha
Somali land hawafiki kokoteNdio hatua ya kwanza kufikia huko, unajiimarisha kama jimbo alafu ndio unajitenga. Mfano Somaliland
Iraq hao wakurdi walitumika kupiga ISIS, mwisho wa siku wakageukwa na kuwekwa chini ya serikali ya baghdadSio ujuha, unaweza ukawa na Semi Autonomy mfano Iraqi Kurdistan case ni baada ya kuuwawa sana na Dikteta Saddam Hussain.