Plasduce Mbossa wa TPA: Serikali Kupitia TPA imesaini MoUs na Kampuni za Saudi Arabia,China na Egypt Ili Kuendeleza Bandari ya Bagamoyo

Plasduce Mbossa wa TPA: Serikali Kupitia TPA imesaini MoUs na Kampuni za Saudi Arabia,China na Egypt Ili Kuendeleza Bandari ya Bagamoyo

Wewe unanufaika vipi na hizi chuki zako?. Maisha yamekuwepo katika hali hii kabla hata hujazaliwa.

Zanzibar kwa eneo ni sehemu ndogo mno kulinganisha na ukubwa wa Bara, ndio jiografia halisi ilivyo na tunaishi nayo hivyo hivyo.
Nipe manufaa(5) tu ya wewe kuungana na Zanzibar, mtoto wako ananufaika nini na muungano wa Zanzibar?
 
Naskia kwenye ajira mpya 1594 za TRA kuna nafasi 300+ zimetengwa kwa ajili ya wazanzibar.. wakati huo hakuna mtanganyika anayeruhusiwa kusogeza pua yake kwenye ajira za ZRA

Hakika watanganyika ni wajinga mno, acha Samia aitawale hii anavyotaka, akisaidiwa na machawa ambao wengi ni watanganyika.
Majizi ya mali za umma ndiyo yanamtaka, mimi simtaki wazanzibar ni wabaguzi sn
 
Huyo mfu wako hakushika hatma ya nchi hii ndio maana hayuko nasi sahv, nchi ni ya watanzania ndio waamuzi wa hatma ya nchi yao
Mimi sina mtu mimi si CCM mimi nilikua naonyesha jinsi ambavyo hawaeleweki
 
Pamoja ya kwamba yawezekana ilikuwa ni katika substandard, ila kabla hao wajomba zake na Samia hamjawapa bandari mimi kama mtanzania nilinufaika sana tu kama ambavyo nimekuwa nikinufaika na rasilimali nyingine zilizopo nchi hii...!! najua wewe mla makombo ya mafisadi unaweza usinielewe.

kumkabidhi mgeni akuendeshee bandari eti kwa sababu tu wewe umeshindwa kuthibiti ubadhirifu unaofanywa na watu wako, hiyo ni level ya juu kabisa ya ujinga na udhaifu na tafsiri yake ni kwamba hata kwenye sekta zingine zote hali n ile ile tu unahitaji kusaidiwa.
Saizi hunufaiki? 😁😁

Kubwa kuliko inakuja 👇👇

View: https://x.com/swahilitimes/status/1894706871384064159?t=VklF1Rp5xAbuYqgcGUhNLg&s=19
 
Hongera Serikali na TPA.Hakikisheni Bandari ya Bagamoyo inajengwa Kwa kushirikiana na Private sector.

Hiyo Bandari ni mojawapo ya miradi mikakati ya kutufikisha kwenye mafanikio ya Dira ya 2050 ya Uchumi wa $700Bln.

View: https://www.instagram.com/p/DGfMFRaM8Mq/?igsh=ZTB1N3ZxMDU1aHN5

My Take
Wale wa Bandari zimeuzwa wakatunge uzushi mwingine.

Pia watuambie kabla hazijauzwa tulipata nini na baada ya kuuzwa tumepoteza nini 🤪🤪

View: https://x.com/TanzaniaDigest/status/1894323641950605590?t=-a2z339QlYvjJSAFAYo_CA&s=19

Pia soma Tetesi: - Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate

View: https://x.com/MoureenAbel/status/1894708290484834781?t=HO9poMi3YKLXkUM980X1zA&s=19

Shida siyo dira, Wala shida siyo maneno ya uzushi, SHIDA ni mikataba ya hovyo ambayo ikipelekwa bungeni kujadiliwa, inaleta sintofahamu baina yenu wenyewe, yote hiyo ni kwasababu ya uchawa na njaa Kali.
 
Nipe manufaa(5) tu ya wewe kuungana na Zanzibar, mtoto wako ananufaika nini na muungano wa Zanzibar?
Muungano
1 Umoja, umoja ni nguvu
2 Nguvu ni ushawishi wa kimataifa
3 Ushawishi unaongeza heshima
4 Heshima inavutia uwekezaji
5 Unyonge wa nchi moja moja huondoka

Gadhaffi mpaka anakufa alisisitizia umoja, Kwame Nkrumah alisisitizia umoja mpaka anakufa.
 
Unajua huenda unajadili jambo ambalo hulijui bandari ya DSM mkataba wake unahusu uendeshaji wa bandari tu kuendelea inaendeleza serikali hiyo ya bagamoyo mkataba wake unahusu ujenzi, uendeshaji na uendelezaji vyote vinafanyika na mwekezaji
Uendeshaji wa zote mbili ni manufaa kwa serikali ya JMT.
 
Hongera Serikali na TPA.Hakikisheni Bandari ya Bagamoyo inajengwa Kwa kushirikiana na Private sector.

Hiyo Bandari ni mojawapo ya miradi mikakati ya kutufikisha kwenye mafanikio ya Dira ya 2050 ya Uchumi wa $700Bln.

View: https://www.instagram.com/p/DGfMFRaM8Mq/?igsh=ZTB1N3ZxMDU1aHN5

My Take
Wale wa Bandari zimeuzwa wakatunge uzushi mwingine.

Pia watuambie kabla hazijauzwa tulipata nini na baada ya kuuzwa tumepoteza nini 🤪🤪

View: https://x.com/TanzaniaDigest/status/1894323641950605590?t=-a2z339QlYvjJSAFAYo_CA&s=19

Pia soma Tetesi: - Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate

View: https://x.com/MoureenAbel/status/1894708290484834781?t=HO9poMi3YKLXkUM980X1zA&s=19

China wanajenga wharehouse sio viwanda! Yaani kunaweka vitu vya kutoka China.

Kama kawaida mkataba utakuwa siri maana ni rushwa tupu. Nina jamaa zangu Saudi wanacheka nchi inavyo sign mikataba ya kirushwa na watu hata kuulizia mkataba hawafanyi.
 
Wewe unapenda sana upotoshaji,EPZ sio eneo la maghala japo maghala ni sehemu ya viwanda
 
Muungano
1 Umoja, umoja ni nguvu
2 Nguvu ni ushawishi wa kimataifa
3 Ushawishi unaongeza heshima
4 Heshima inavutia uwekezaji
5 Unyonge wa nchi moja moja huondoka

Gadhaffi mpaka anakufa alisisitizia umoja, Kwame Nkrumah alisisitizia umoja mpaka anakufa.
Hakuna faida hata moja, nataka faida zinazomgusa mwananchi wa Ushirombo, Masama, Useri, Dumila n.k
 
Wewe unapenda sana upotoshaji,EPZ sio eneo la maghala japo maghala ni sehemu ya viwanda

Kma mimi mpotoshaji tuletee mkataba hapa! Kwani kuna kitu gani cha siri mbona Magufuli alisema mambo yote ya mkataba na huu ni sirisiri. Sababu kubwa ni rushwa Dada yangu wewe msiwe kama wajinga. Inawezekana hata haujui rushwa inavyotolewa na waarabu wa Dubai na Saudi kama hujui omba tukuelekeze sio kupigia kelele wala rushwa.
 
Back
Top Bottom