much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Ni nani anayoendeleza hiyo bandari?Bagamoyo wataijenga kuanzia chini kabisa, hapo TPA wataiendeleza ile iliyokuwa imeshajengwa tayari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nani anayoendeleza hiyo bandari?Bagamoyo wataijenga kuanzia chini kabisa, hapo TPA wataiendeleza ile iliyokuwa imeshajengwa tayari.
Yaani uanongea kwa kujiamini kabisa eti atapewa huyu atapewa yule...ovyooBandari ya Dar yupo DPW na yule mdosi, bandari ya Bagamoyo atapewa huyo mwekezaji atakayepatikana miongoni mwa hawa watatu wanaoangaliwa kwa kina uwezo wao upo vipi.
Atakayepewa mkataba.Ni nani anayoendeleza hiyo bandari?
Wewe dumu na chuki pamoja na matusi yako, nakwambia kitakachofanyika.Yaani uanongea kwa kujiamini kabisa eti atapewa huyu atapewa yule...ovyoo
Unajua huenda unajadili jambo ambalo hulijui bandari ya DSM mkataba wake unahusu uendeshaji wa bandari tu kuendelea inaendeleza serikali hiyo ya bagamoyo mkataba wake unahusu ujenzi, uendeshaji na uendelezaji vyote vinafanyika na mwekezajiAtakayepewa mkataba.
Nipe manufaa(5) tu ya wewe kuungana na Zanzibar, mtoto wako ananufaika nini na muungano wa Zanzibar?Wewe unanufaika vipi na hizi chuki zako?. Maisha yamekuwepo katika hali hii kabla hata hujazaliwa.
Zanzibar kwa eneo ni sehemu ndogo mno kulinganisha na ukubwa wa Bara, ndio jiografia halisi ilivyo na tunaishi nayo hivyo hivyo.
Majizi ya mali za umma ndiyo yanamtaka, mimi simtaki wazanzibar ni wabaguzi snNaskia kwenye ajira mpya 1594 za TRA kuna nafasi 300+ zimetengwa kwa ajili ya wazanzibar.. wakati huo hakuna mtanganyika anayeruhusiwa kusogeza pua yake kwenye ajira za ZRA
Hakika watanganyika ni wajinga mno, acha Samia aitawale hii anavyotaka, akisaidiwa na machawa ambao wengi ni watanganyika.
Mimi sina mtu mimi si CCM mimi nilikua naonyesha jinsi ambavyo hawaelewekiHuyo mfu wako hakushika hatma ya nchi hii ndio maana hayuko nasi sahv, nchi ni ya watanzania ndio waamuzi wa hatma ya nchi yao
Unajua huenda unajadili jambo ambalo hulijui bandari ya DSM mkataba wake unahusu uendeshaji wa bandari tu kuendelea inaendeleza serikali hiyo ya bagamoyo mkataba wake unahusu ujenzi, uendeshaji na uendelezaji vyote vinafanyika na mwekezaji
Saizi hunufaiki? 😁😁Pamoja ya kwamba yawezekana ilikuwa ni katika substandard, ila kabla hao wajomba zake na Samia hamjawapa bandari mimi kama mtanzania nilinufaika sana tu kama ambavyo nimekuwa nikinufaika na rasilimali nyingine zilizopo nchi hii...!! najua wewe mla makombo ya mafisadi unaweza usinielewe.
kumkabidhi mgeni akuendeshee bandari eti kwa sababu tu wewe umeshindwa kuthibiti ubadhirifu unaofanywa na watu wako, hiyo ni level ya juu kabisa ya ujinga na udhaifu na tafsiri yake ni kwamba hata kwenye sekta zingine zote hali n ile ile tu unahitaji kusaidiwa.
Saizi hunufaiki? 😁😁
Kubwa kuliko inakuja 👇👇
View: https://x.com/swahilitimes/status/1894706871384064159?t=VklF1Rp5xAbuYqgcGUhNLg&s=19
Hongera Serikali na TPA.Hakikisheni Bandari ya Bagamoyo inajengwa Kwa kushirikiana na Private sector.
Hiyo Bandari ni mojawapo ya miradi mikakati ya kutufikisha kwenye mafanikio ya Dira ya 2050 ya Uchumi wa $700Bln.
View: https://www.instagram.com/p/DGfMFRaM8Mq/?igsh=ZTB1N3ZxMDU1aHN5
My Take
Wale wa Bandari zimeuzwa wakatunge uzushi mwingine.
Pia watuambie kabla hazijauzwa tulipata nini na baada ya kuuzwa tumepoteza nini 🤪🤪
View: https://x.com/TanzaniaDigest/status/1894323641950605590?t=-a2z339QlYvjJSAFAYo_CA&s=19
Pia soma Tetesi: - Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate
View: https://x.com/MoureenAbel/status/1894708290484834781?t=HO9poMi3YKLXkUM980X1zA&s=19
MuunganoNipe manufaa(5) tu ya wewe kuungana na Zanzibar, mtoto wako ananufaika nini na muungano wa Zanzibar?
Uendeshaji wa zote mbili ni manufaa kwa serikali ya JMT.Unajua huenda unajadili jambo ambalo hulijui bandari ya DSM mkataba wake unahusu uendeshaji wa bandari tu kuendelea inaendeleza serikali hiyo ya bagamoyo mkataba wake unahusu ujenzi, uendeshaji na uendelezaji vyote vinafanyika na mwekezaji
Hebu jieleze uelewekeUendeshaji wa zote mbili ni manufaa kwa serikali ya JMT.
Zote mbili ni chanzo kizuri cha pesa za hazina. DP World kaongeza ufanisi wa hapo TPA.Hebu jieleze ueleweke
Hongera Serikali na TPA.Hakikisheni Bandari ya Bagamoyo inajengwa Kwa kushirikiana na Private sector.
Hiyo Bandari ni mojawapo ya miradi mikakati ya kutufikisha kwenye mafanikio ya Dira ya 2050 ya Uchumi wa $700Bln.
View: https://www.instagram.com/p/DGfMFRaM8Mq/?igsh=ZTB1N3ZxMDU1aHN5
My Take
Wale wa Bandari zimeuzwa wakatunge uzushi mwingine.
Pia watuambie kabla hazijauzwa tulipata nini na baada ya kuuzwa tumepoteza nini 🤪🤪
View: https://x.com/TanzaniaDigest/status/1894323641950605590?t=-a2z339QlYvjJSAFAYo_CA&s=19
Pia soma Tetesi: - Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate
View: https://x.com/MoureenAbel/status/1894708290484834781?t=HO9poMi3YKLXkUM980X1zA&s=19
Wewe unapenda sana upotoshaji,EPZ sio eneo la maghala japo maghala ni sehemu ya viwandaChina wanajenga wharehouse sio viwanda! Yaani kunaweka vitu vya kutoka China.
Kama kawaida mkataba utakuwa siri maana ni rushwa tupu. Nina jamaa zangu Saudi wanacheka nchi inavyo sign mikataba ya kirushwa na watu hata kuulizia mkataba hawafanyi.
Hakuna faida hata moja, nataka faida zinazomgusa mwananchi wa Ushirombo, Masama, Useri, Dumila n.kMuungano
1 Umoja, umoja ni nguvu
2 Nguvu ni ushawishi wa kimataifa
3 Ushawishi unaongeza heshima
4 Heshima inavutia uwekezaji
5 Unyonge wa nchi moja moja huondoka
Gadhaffi mpaka anakufa alisisitizia umoja, Kwame Nkrumah alisisitizia umoja mpaka anakufa.
Wewe unapenda sana upotoshaji,EPZ sio eneo la maghala japo maghala ni sehemu ya viwanda